Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

itakuwa umekusudia king dae jo young drama ambayo inazungumzia kuangushwa kwa utawala wa goguryeo taifa lililoanzishwa na mfalme jumong na harakati za kuanzishwa kwa taifa la Balhae na dae joyoung
moja kati ya drama bora nilizowahi kuangalia, heshima kwake ahjussi choi soo jong
DaeJoYoung-Merge.png
Mkuu hii DAE JO YEONG naitafuta kinyama yaaan
Nilishia EPISODE ya 20
VP unayo
uliipata wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilianza kuangalia six flying dragons ya mwaka 2015 ndipo baadae nikaiangalia JEONG DO JEON ya mwaka 2014. kwangu mimi jeong do jeon(sambong) itabaki kuwa ni drama bora kuliko six flyng dragons na cha kufurahisha zote zina episode 50 ila jeong do jeon stori yake ni ya ukweli zaidi kuliko six flyng dragons.
tree with deep roots nayo ipo vizuri sana na heshima kwake jang hyuk ila kama utaiangalia king sejong hutakuwa na hamu sana ya kuangalia tree with deep roots
jang yeong sil niseme tu heshima kwake song il kook kwa performance yake laiti kama Tanzania tungelikuwa na watu wenye maarifa kama jang yeong sil basi taifa hili lingelikuwa mbele sana kwenye sekta ya sayansi na technolojia
Haya jamaa wako serious kwenye kazi zao
Wana act maisha yao hawacopy

Haya ya kwetu bongo ni maigizo2


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom