Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

SERIES ambazo zinaenda na Six FLYING DRAGONS ama zenye story zinazofanania au mwendelezo wake n hz
1.tree with deep root
b5d14be434c27f7fd4dc69a46b0b9025.jpg

2.jang young sip
7e180c88040ab323648e2aedb48d989e.jpg

3.the great King sejong
a628fb3843674aaeb8d8fcb3689a680b.jpg

4.jeong do jeon
6d22babca52dd9439338c41998432ad6.jpg

5.the great seer
1ed9ec6b2db35e2983f76ca8a628768e.jpg

Na nyinginezo nakumbuka hz
Dah asante mkuu nilikua nawaza niangalia series gani bora nimepata hizi sasa nizishushe moja moja.

Sent From Heaven
 
Unajua Hili chimbo Nilikuwa Nalijua Kitambo Lakini Sikuwa Najua Kama Kulikuwa Na Hii forum Kama Ya kwetu ila Ni wewe Ndo Ulonifungulia Dunia Kwa Hili Ubarikiwe Sana, Mara Nyingi Sa Ivi Napatembelea Na User Name Yangu Ni Chae2gyung Thanks Sunbae Damushin
Forum ipi hiyo niambie na mm nikajiunge huko.
 
Inahusu nn hiyo kitu
Drama Iyo inaitw REBEL THIEF WHO STOLE THE PEOPLE
Inahusika Zaidi na Kijana alotokea Kwenye Familia Ya Watumwa, au Drama Inayoelezea Zaidi Maisha Ya Mtumwa Katika Zama Izo Nchini korea..Umeelewa Nahisi
 
Haya, mambo yangu yale nayopenda yamo kweli humo?
 
Back
Top Bottom