DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
hizi show za music nchini korea huwa nazifuatilia sana, Bonge Moja la Mwanamuziki,Mi Sauti Yake Namfananisha Na Celine, Ata Kimuuonekano Bado Bado Kabisaa Anaweza Date ata kijana Wa 20 Kabisaa Uyu,
Kuna Show Moja Ivi ile ya Sketchbook Ya Yu Huiyeol Kuna Ile Alofanya na Lee Na Akaamua Kumuualika Mama Yake Wee!! Kuna Nyimbo Ivi Alikuwa Anaimba then Lee sun Akaingilia Kati Acha
Then katika Kuojiwa kwao Seung akaaulizwa Kuna Sehemu ilifika Ilibidi Apandishe Sauti kwenda juu Sa ikabidi atuulie Baada ya Sauti ya Mama Kumshinda Lol!!!!