UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Haha poa nitajaribu.Anhaa! Kidogo Tuh Ata Jina Lako kwa Kikorea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha poa nitajaribu.Anhaa! Kidogo Tuh Ata Jina Lako kwa Kikorea?
Ni nzuri tena sana tu, ila inapoteza mvuto kadri inavyo zidi kwenda mbele baadhi ya washiriki wanapotea bila sababu ya msingi.!!!
Ayah JaribuHaha poa nitajaribu.
Ni Amecheza Drama Gani?? hiyo apo ni drama Gani?Huyu mtoto anaitwa Nani??![]()
![]()
![]()
Nimemuona kwenye King GwanggaetoNi Amecheza Drama Gani?? hiyo apo ni drama Gani?
Ngoja Nimcheki Maana Hii Drama Bado sijaiimaliza ndo Kwanza Nipo Episode Ya Tatu.. ila Hii Sura Kama Nishawahi Iona.Nimemuona kwenye King Gwanggaeto
Lol! Pole Ila Ni Nzuri Na Huu wakati Ma Maguu Ni Mchakamchaka ..aigooooo nina siku 3 siijaangalia drama yoyote
nimeangalia episode ya 1 inaonekana ni nzuri sanaLol! Pole Ila Ni Nzuri Na Huu wakati Ma Maguu Ni Mchakamchaka ..
Ila Hii Kitu Nayo Inataka Kuniingia Kma QD7,Ina Miondoko Flani Hivi Ambayo Sijaiona Kwenye Drama Nyingi Nilizoangalia Ina Mihemko Flani Ivi Yaani! Waooo, Ukipata Time Icheki Pleez Ipo Episode Ya Nne Sa Ivi...
Hmmm!! hili Bado Sijawahi Kulifatilia Coz Naangalia Randomly tuuhkwani unafuatilia historical drama zinazozungumzia 3 kingdoms (goguryeo, baekje, silla)?
Anafanana sana na kim woo bin![]()
Ni Second Lead Kwenye The King Love, Siataki Kubadirisha Mawazo Yangu Lakini Jinsi Inavyotaka Kwenda Kama Vile Moyo unataka Kupingana Na Macho Vile,
Mpaka Episode Ya Jana Ni Ananipa Matumaini Ya Kutokukosea Kwangu..
Iko Vizuri Sana, Kwanza kwenye Wanaziita (Hanbok) Ni kama Mavazi Vile,Mavazi yao yako tofauti kidogo na Historical Drama Nyingi Na Maeneo Walochezea Yako Tofauti Pia,Mandhari Yake Ni nzuri Balaa..nimeangalia episode ya 1 inaonekana ni nzuri sana
Yah,Kipenzi chengine Icho..Mola Amponeshe HarakaAnafanana sana na kim woo bin
![]()
Mimi huwa na penda historical drama zenye action pia napenda drama za horror na thriller or criminalKama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
Nataka kuanza kumfuatilia huyo mzeeMimi huwa na penda historical drama zenye action pia napenda drama za horror na thriller or criminal
Drama nazo zipenda na ambazo hazinichoshi kuangalia ni
1.king GWANGGAETO
2.king DAE JO YOUNG
3.ROARING CURRENTS (movie)
4.SIX FLYING DRAGONS (hasa episodes #17 #18)
5.THE ROYAL GAMBLER
Zipo nyingi sana lakini hizo huwa I can watch them a hundred times bila kukinai
Kwa upande wa Actors wapo wengi sana kama mnavyojua Korea wamebalikiwa kuwa na talented people.kwa mm wasanii ambao huwa siachi kuangalia kazi zao ni
1.LEE JAE-YONG
![]()
Mzee amecheza drama nyng mno pengine hata mwezi huwezi kufikia nusu kuzcheki
i.a man called god
ii.empress ki
iii.ruler:master of the mask
iv.jumong
v.the royal Gambler (jackpot)
vi.3 days
vii.the fugitive of joseon
viii.war of money
ix.emperor of the sea
X.lobbyist
x.swallow the sun
Zpo nyng sana mm nmecheki hizo na nyinginezo kafanya vizuri sana
2.AHN KIL-KANG
![]()
Huwa namuelewa sana akishika panga huju jamaa kacheza
i.jackpot
ii.bad thief,good thief
iii.six flying dragons
iv.3days
v.gye baek
vi.slave Hunter
Vii.iljimae
Viii.queen seondeok
3.LEE MOON-SIK
![]()
Huyu kacheza hizo
DAMO
ILJIMAE
JACKPOT
QUEEN SEONDEOK
INCARNATION OF MONEY
MR. BAEK
THE DUO
GIANT
Moorim school
4.JEON KWANG-LEOL
![]()
Mzee flan maarufu hv kama utakua umechek
JUMONG
SWALLOW THE SUN
JACKPOT
FLOWER IN PRISON
HELLO MONSTER
WARRIOR BAEK DONG SOO
KING AND I
Mwingine actor ni
KIM SANG-JOONG
![]()
Ukitaka kujui ni jinsi gani hao ACTORS wanaweza angalia Series na movie zao
Aliyecheza km adui kwenye city hunter pia baba yake hongera il-dong kwenye rebel:the thief who stole people
Sent using Jamii Forums mobile app