Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

DE0q1xsU0AAZakV.jpg

Current
 
1500885230.jpg

Ni Picha Zilizopigwa Kwenye Concert Yake Ya Mwisho Kabla Ya Kujiunga Na Jeshi, Iliyofanyika Trh 22/07/2017 Iliyofahamika Kwa Jina La ''JISCOVERY'' Iliyofanyika Katika Mji/Jiji La Seoul, SEOUL OLYMPIC PARK

Ni show Ilijumuisha Wauzuliaji Takribani 6,000 kutoka Nchi Tofauti Kama Japan,China,Taiwan,Thailand,Hong Kong,Singapore Pamoja Na Afrika (Mimi) Hahaha
Na Ni Show Ya Shukurani Kwa Kuwepo Katika Industry Ya Muziki Pamoja Maigizo kwa kutimizi Miaka kumi ''10 ANNIVERSARY''
Aliwashukuru Mafans Wake Wote Wanaoendelea Kushiriki Nae Katika Kazi Zake Na Kuwaomba Wamsubili ata Pale Atakapotoka Jeshini ''The last 10 years have been a new challenge for me. I did not give up thanks to you all. Let's meet again in 2019, smiling.' We will Wait For You Bae
Take Care, Na Urudi Ukiwa Healthy na Smile Ilo Ilo JI CHANG WOOK ...
 
Back
Top Bottom