Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Manseee!

Nimeimaliza Hii Drama Rebel, Lol!!! Asieiona Aitafute Ni Daebak! Really Daebak! Omo Omo
Ost Zao tuuh, Chemistry Yao tuuh, Na mwisho Kwa kila actors alionyesha alichopewa na Allah ..

Imenifanya Nizisubiri kwa Hamu Awards za Mwaka Huu Can't wait Kabisaa...

MANSEEE
 
Kuna hii CRIMINAL MINDS Ongoing now ipo vyema
Ilivyo km BONES au CSI ya Hollywood
Kuna mshkaj ana IQ 187 yaan ni zaid ya Genius
 
recommended drama;
niko hapa naangalia
master of the mask(The emperor) ni nzuri sana kweli niko episode ya 14 jumla zipo episodes 40,
Ni series ya mwaka huu 2017 ila yenyewe tayari ni Completed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nzuri hiyo, niiangalia wakati ikiwa bado ni ongoing, ni ya mwaka huu, ila ilishakamilika yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah,ila naskia wamecopy ile CM ya Hollywood though hii ya Hollywood Sijawahi Iona...
Mm nmeangalia zote BONES an hyo CSI si kwamba CM wamecopy hapana ila ideas zinafanana maana zote zinahusiana na Uhalifu (crimes and thriller)
 
Naomba kujua drama ambazo zinaendana na kama city Hunter, iris

Sent using Jamii Forums mobile app
  1. iris 2 = jang hyuk
  2. athena goddess of war = jung woo sung
  3. 3 days = park yoo chun
  4. a man called a god = song il kook
  5. 2 weeks = lee joon gi
  6. voice = jang hyuk
  7. heartless city = jung kyung ho
  8. police unit 38 = seo in guk
  9. time between dog and wolf = lee joon gi
  10. healer = ji chang wook
  11. signal = lee je hoon
  12. nine times travel = lee jin wook
  13. i miss you = park yoo chun
  14. defendant = ji sung
  15. tunnel = choi jin hyuk (Khantwe oppa)
  16. vampire prosecutor = yeon jung hoo
[HASHTAG]#karibu[/HASHTAG]
 
Mm nmeangalia zote BONES an hyo CSI si kwamba CM wamecopy hapana ila ideas zinafanana maana zote zinahusiana na Uhalifu (crimes and thriller)
Nope IPO mpaka ya Hollywood inaitwa Ivi Ivi CM Na hawa wakorea ndo wameicopy iyo na kutangeneza kivyao...Ila IPO
 
Thanks alot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…