Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wataalam napenda kuiona battle ya goguryeo against sui, kuna drama yeyote (ya kichina au korea) inayosimuia hili tukio?
 
Jamani hiz series za kikorea znaanza kunitia nyongo sasa,ndo nini tory inaisha vbaya hadi mtu unajiskia vbaya.......Queen for seven days mbona imeisha vibaya hivi.moyo unaniuma
 
Hahaa tunakuiga wewe au...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe tupo wengi,mwanzon nzuri sana ila umalizia mbaya
Jamani hiz series za kikorea znaanza kunitia nyongo sasa,ndo nini tory inaisha vbaya hadi mtu unajiskia vbaya.......Queen for seven days mbona imeisha vibaya hivi.moyo unaniuma
 
Yaaan mi wananiboa......no happy ending inayoeleweka
Nipo naangalia king in love ikizungua mwishoni
Napumzika series za kikolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…