Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kwa nini hujaangalia?
wang won ana damu ya watu wa mongolia ndio maana anachukiwa
Nimeiangalia Ila kuendelea kuiangalia APA ndo nawaza Wang Won anampenda Sana Lin na Anamchukulia kma Zaidi Ya Rafiki Ila Coz Ya San Lin Atamgeuka Won ndo Episode hii inayofata
 
nimetokezea sana kupenda uhusika wa wang lim ila sitaki niwe kama wang lim.
huyu mzee anayefanya kazi kama eunuch wa malkia ni mkorofi sana nina wasiwasi kwenye dawa ya malkia anamuwekea kitu chenye kumzuru
Uyo Yuko Side Ya Yule Song in Secretary wa King Na ndo uyo Anaetoa habari Uku nakupeleka Kule kwa Song In...
 
nasubiri vicheko vya jang hyuk
maxresdefault.jpg
cheko lake tu mimi hoi bin taaban bin mauti
can't wait
 
ok basi ngoja nijikaze nifike angalau ya 26
Anhaaa Uko Mbele ndo kutamu Zaidi, Japo wanasema According na Novel Ni kuwa Won ndo Atamgeuka Lin ila kwa invyoonekana ni Lin ndo Atageuka

Kwa jinc Ulivyoiona Maaana We ushaangalia Historical Sana Mandhari na Mavazi ni Kama Drama IPI????
 
aigooooooo mianhae nimesahau kukuita kumbe team jang hyuk mupo wengi sana. nina wasiwasi kwenye drama hii mpya atavunja rekodi ya kucheka
aigooo oppaa ulinisahau kuniita.......mi ndo fan wake nambari 1 wengine wanaiga.hahahaaaa lile cheko ni halisi ama igizo tu
af metazama drama zake hizi tu kuna nyingine may be cjaziona Damushin?
slave hunter
tree with deep root
shine or go crazy
fated to love you
tazza
beautiful mind
the voice
 
aigooo oppaa ulinisahau kuniita.......mi ndo fan wake nambari 1 wengine wanaiga.hahahaaaa lile cheko ni halisi ama igizo tu
af metazama drama zake hizi tu kuna nyingine may be cjaziona Damushin?
slave hunter
tree with deep root
shine or go crazy
fated to love you
tazza
beautiful mind
the voice
nimeamini kama wewe ni number 1 fans wake, basi hii thread inakuhusu
Jang Hyuk 장혁
 
Yap,Tena Sana Yaani Maana Zile Mandhari Zao Sijuhi Ni Mji Gani Ule! Au ni Korea Kule Kule?
Maana Ata Ukiangalia Magauni Yake Mama Wa WON Ni Hatari..\

Ushamaliza Kuaangalia?
sijafuatilia lakini inawezekana yote imefanyika location nchini korea au nusu location yake imefanyika nchini china
 
Mwenye kujua majina ya series zinazorungumzia hizi battles anitajie
Goguryeo-wei war
Goguryeo-sui war

Kuundwa kwa silla dynasty
Kuundwa kwa falme ya baekje
 
IRIS 2
THE MERCHANT GAEKJU: kwenye drama ya the merchant gaekju mwanadada aliyeigiza naye pamoja anaitwa Han Chae Ah ndiye ambaye amechaguliwa tena kuigiza kwenye drama mpya. humu anacheka mnoooo.
145325165314525772168349_0.jpg
yaaah iris 2 nilisahau.............the merchant gaekju ni ya mda?
ile cheka ake eti kuna watu hawaipendi na uku mi ndo inanimurder
kweli tumetofautiana
 
Back
Top Bottom