Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The king in loveInaitwaje hii?
Itakuwa Anatumia ID TofautiHivi huyu jamaa muanzilishi wa uzi huu kapotelea wapi? Naona tangu mwaka juzi nduo mwisho wake kuingia jamiiforums. Au ana ID nyengine?
nimeanza jana kuiangalia ila huu uhusika wa mfalme sijaupenda anaonekana ni kama puppet kingThe king in love
jaribu kuangalia King 2 hearts ameigiza pamoja na Bae wako lee seung gi, huyu bwana mdogo nilimuona kwenye The HeirsChemistry Ya Age Difference Ya 39 and 26
![]()
After Empress Ki Sikuona Tena Kazi Yake Nyengine Leo Karudi Tena..
She Still Looking Young Lol!!
Yah Ni Puppet na Yule Secretary Wake Ndo AnaeMzuzua, Kaamua Kumpelekea yule Mwanamke Wake Ili Akawe Kimada Wa King Ili Apate Kumzuzua Vizuri...nimeanza jana kuiangalia ila huu uhusika wa mfalme sijaupenda anaonekana ni kama puppet king
Iyo Nishaionaga Muda Tuuh.....Bae Nisimuangalie Tena...Omo Omojaribu kuangalia King 2 hearts ameigiza pamoja na Bae wako lee seung gi, huyu bwana mdogo nilimuona kwenye The Heirs
Na Akaamua Kumchagua Mwanamke Ampendaye
- the woman I love was captured and is bleeding, what man would not interfere? (wang lim)
- i will let one of them to live whether its the woman who you insist is your love or Lim who is you think is your friend, some one has to be punished for their sins, you have to leave one to be punished, i will let you to have the other one choose. king in loves ( ep 9.)
![]()
Jamani nini tena hii mbona kutamanishanaa wakati nna viporo kibao mimiChemistry Ya Age Difference Ya 39 and 26
![]()
After Empress Ki Sikuona Tena Kazi Yake Nyengine Leo Karudi Tena..
She Still Looking Young Lol!!
halafu mtu wa kwanza kupewa offer ya kuwa muigizaji mkuu wa kiume alikuwa ni oppa wako choi jin hyuk lakini alikataaJamani nini tena hii mbona kutamanishanaa wakati nna viporo kibao mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwii Damushin hebu waambie ndugu zako wanipumzishe jamani daah yaani kitu juu ya kituKhantwe mtu wako amerudi tena
CONFIRMED !
Lee Soon - jae, Jang Hyuk and Han Chae Ah confirmed 'Money Flower' appearance. Lee Soon - jae will appear on the weekend after 15 years since SBS 'long - awaited' in 2002.
According to a broadcasting company official, Lee Soon-jae, Jang Hyuk, and Han Chae Ah will be appearing on MBC's new weekend drama 'Money Flower'
'Money flower' depicts stories of those who live in the illusion that they dominate money, but actually they are consumed by money. MBC 'Air City' and KBS1 'Jang Yeongsil', and Lee Heung-Won PD who directed MBC 'Love You Like Destiny', 'Gorgeous Temptation' and 'Golden Pocket'.
![]()
Soon-jae Lee, who celebrated its 60th anniversary this year, is still active in active duty. In addition to appearing as principal in Mnet 'Idol School', he is also working on the plays 'Love Song' and 'I Love You'. He will show off his performance once again with the appearance of 'money flower'.
It is expected that Jang Hyuk and Han Chea will show a breathing response as they postpone the KBS2 'Gaekju 2015' that was broadcast in 2015.
'Money Flower' will be broadcast in November following 'Thieving Thief'.
[emoji3] [emoji3] oppa nae bwana...kwamba yuko bize sana au...?halafu mtu wa kwanza kupewa offer ya kuwa muigizaji mkuu wa kiume alikuwa ni oppa wako choi jin hyuk lakini alikataa