Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nawatangazia tena, now nina series nzuri kali zifuatazo;
1. Whispers(2017)-Complete
2. Criminal Minds(2017)-Ongoing/nimeDownload hadi episode ya 12
3. Save Me(2017)-Ongoing Episode 8
4. Bad Thief, Good thief(2017)-Ongoing episode 28(now iko episode 32)
zifuatazo ni Completed;
5. defendant
6. Jeon Woo Chi
7.high school love
8. Queen of ambition
9. Remember
10. love marriage
11. secret door
12. The snow queen
13. fashion king
14. She is 19
15. Chil Woo
16.Goong
Haya kwa wanaozitaka na wapo dar na hawajazoea kuDownload kazi kwenu, my Hard Disk ya Computer ikishajaa tu after 3 weeks nazifuta zote.
By the way what are weekends for?.
Happy Weekend Jamii Forums Korean Drama.
It's Daebak(it's awesome)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye anaehifahamu hii series anipe mwongozo tafadhali. Dude linaitwa Epiphyllum Dream
 
Kwanza Kinachofanyika Ni Wanmuumiza Tu Wang Won Sababu Tangu Mwanzo Won Hakuhitaji Kuwa Mfalme Wa Iyo Nchi Ndomna Ata Ukifatilia Kuna Sehemu Alimwambia San Kuwa ''Nataka Tuondoke kwenye Hii Nchi Twende Tukaishi Mbali Kama Tuu Utakubari Kuwa Nami Mpaka Mwisho''

Apo Ukiangalia Vizuri Won Yuko Tyari Kuacha Kila Kitu Ili Tuuh Awe Karibu na Mwanamke Anaempenda kwa Maana Ya Kwamba Uongozi Auna Maana Kwenye Maisha Yake...

Won Amekuwa Bila Ya Malezi ya Baba Wala Mama, Won Amekuwa Mwenyewe Mpka Pale alipompta Rin Na Kuwa Mtu Wake Wakaribu Kushinda Yeyote Rin Anamjua Vizuri Won Sawa Na Won Kumjua Vizuri Rin na Ayo Ndo Maisha Aliyoyahitaji...

Najibu Maswali Yako..
1.Anakosea Tena Kosa Kubwa Tuuh, Kwa Nini! Mfalme Amjuhi Vizuri Won Ni Mwanae Rakini Anachofanya Ni Kama Analipiza Kisasi Kwa Queen Kwa Aliyoyafanya Kwa Mke Wake Wa Kwanza au Kutokana Na Kuwa Na Chuki Na Kublah Khan ndo Anaamua Kumalizia Kwa Mjuukuu Kwa Kujua Siku Akishika Madaraka Ye Ndo Atakuwa Wa kwanza Kupotezwa..

Sasa Apo Ni Kuwa Rin Anamjua Vizuri Won Na Ata Kuna Siku Won Alishawahi Mtamkia Rin Kuwa ''kama Kumpa Mtu Kiti Changu Nitakupa Wewe Na Si Wang Jeon Kaka Yake Rin'' Kwa Nini Alisema Aya Ni Kuwa Won Hana Tamaa Ya Madaraka Tofauti Na Baba Yake Anavyomchukulia... Kwa Ishu Ya Rin Kuside Na Mfalme Ili Wmuangushe Won Ni Undeeezi Wa Rin Tuuh Baada Ya Kulishwa Sumu Na Yule Sectretary....Sababu Ata Won Alishawahi Mjii Juu Mama Yake Kwa Kitendo Alichofanya Kwa Kaka Yake..Na Aya Yote Rin Anayajuua Rakini Leo Anaaamua Kumsaliti Mwenzie Aliyeamuaa Ata Kurisk Maisha Yake ili Tuuh Ye Asipate Shida Yeyote..

Won Aliamua Mpka Kwenda Kutofautiana Mara Kibao Na Mama Yake Ili Tuuh Asiingilie Familia Ya Kina Rin Yote Sababu Ya Mapenzi Na Heshima Aliyoiweka Kwa Rin Kama Rafiki Yake Ila Leo Yote Yale Ayaoni...

Ya Mwisho Won Kwanza Aliaamua Kwenda Kwa Mama Yake Nakuomba Ampe nguvu Ya Kuja Kuwa Mfalme Ili Tuuu Awaprotect Watu Anaowapenda Na Kuuumia Sabbu Ya Mfalme Anaetolewa Akili Na Yule Song In.


(Nimejikuta Nimeandika Sana Etiii, Sorry Kwa Kusoma Sana)
 
Hii ni king loves??

sent using TV ya chogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…