Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ila King Loves Episode Za Wiki Hiii Zimenigusa Moyo Sana Jamani,

Nimelia Na Won Pale Alipoingia Wonseongje Nakumkuta Mama Yake Kalala Kitandani Kwake...Yaani Iliingia Mpka Kwenye Moyo, Lal!
 
sijui ni macho yangu yanaona vibaya ila kwa mtazamo wangu muandishi wa hii drama naona ameipa nafasi kubwa chemistry ya wang lin na sohwa kuliko wang won na sohwa.
na hata first kiss ilikuwa ni kati ya wang lin na sohwa
Amebase Sana Kwenye Historical Ya Kweli kwan Ajaibadirisha Kiivyo,

Won Kwenye Historia Ajawah Kuwa na Mahusiano Na San Kama Sijakosea, Ye Ni Kweli Alimuoa Dan Then Akaja Kumuoa Bint Mwengine Wa Yuan iyo ndo Historia....
Na Mwandishi Kapita Nayo Awa wakina San na Lin kuwa karibu na Won Aya ndo Yamwandishi

Ila Inavyoonekana San Pia ni Anapenda Won Lakini Sema Fate Yao ndo Mtihani.
 
Stay by Jung Joon Young (The King In Love Ost) aka ka wimbo kana hisia flani hatari [emoji17]


G.O.M.D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…