Hahahahaaaaaaa hapa nilipo nimecheka mpaka majirani wametoka nje. hata mimi nilidhani atamsaidia kwenye kesi pale ambapo atakapo pona baada ya kujitupa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]na kweli ukijifanya mtabiri aisee unaumbuka hivihivi umenikumbusha mimi pale niliwaza kwamba hapo hatadondoka atadakwa na katika hiyohiyo prosecution atamsaidia kushinda ile kesi mama weee kilichonipata siri yangu
mimi nilidhani yule binti na bae suzy ni watu wawili tofautiDaah yaani mi nilidhani labda pale walikutana tu kila mtu na ishu zake
Mwenzangu tumeaibika si kidogoHahahahaaaaaaa hapa nilipo nimecheka mpaka majirani wametoka nje. hata mimi nilidhani atamsaidia kwenye kesi pale ambapo atakapo pona baada ya kujitupa.
tumeaibika
Yaani Hii Ost Ni Hatari..
- Eddy Kim - When Night falls - while you were sleeping ost 1
Binaadamu Alonifanya Niwafatiliee Wakorea,Alonifanya Nipende kazi Na DRAMA Za Kikorea Alonifanya Kuwa Ni Sehemu Ambayo Natamani kwende Panapomajaaliwa InshaAllah, Alonifanya Nipate Mabae Wa Kikorea...happy birthday Song il kook kwa kutimiza miaka 46 siku ya leo na Mungu azidi kukupa baraka na afya njema pamoja na mke wako na watoto wako (daehan,minguk,manse)
1/10/1971 mwanamama kim eul dong alifanya kazi ngumu sana ya kukuleta duniani na alikulea na mpaka leo bado anaendelea kukusimamia maisha yako na kukushauri mambo mbali mbali yanayokuhusu.
hahahaaaa umenikumbusha basi nilifikiri pale ndio wanaamua kuachana, hatari sana huyu director na muandishi watatuua kwa michomoPale Restaurant Suzy Alikoenda Kuachana Na Lawyer (Lee Boo-Yeom) Alivyosimama Na Kuanza Kuongea Kwa Sautii Mpaka Watu Wakaawa Na Mshangaa, Umu Ndani Suzy Kauwa Vibaya Sana, Na Napenda Jinsi Chemistry Yake Na Mama Yake Ilivyo...
naona SBS tv drama awards zitakua ngumu sana jaribu kufikiria mafanikio yaYaani Hii Ost Ni Hatari..
Awards Za Mwakaa Huu Sijuh Yaani Maana Kazi Zote Ni kari, Kutakuwa Na Mpambano Wa Kukata Na Msumenoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha nilicheka balaa et the more anafeel apologetic ndo ndo sauti inazidi kupandaKhantwe Na Damushin Mnanichekesha Na Izi Comment Zenu Hahahaha Poleni Kwa Kuaibikaa Hahahahaha...Hii Drama Ni Inachanganya Kidogo Ndo Imenifanya Nivunje Mwiko Wa Kutoziangalia Izi Mambo..
Pale Restaurant Suzy Alikoenda Kuachana Na Lawyer (Lee Boo-Yeom) Alivyosimama Na Kuanza Kuongea Kwa Sautii Mpaka Watu Wakaawa Na Mshangaa, Umu Ndani Suzy Kauwa Vibaya Sana, Na Napenda Jinsi Chemistry Yake Na Mama Yake Ilivyo...
Kwaiyo Naombeni Tuchague Kati Ya The Good Guy,Bad Guy Na The Weird One.
Mi Naombeni Niwe The Weird One ( Suzy Anazimaliza Mbavu Zangu)...
Hebu kwanza kwa hiyo pale ni nini?hahahaaaa umenikumbusha basi nilifikiri pale ndio wanaamua kuachana, hatari sana huyu director na muandishi watatuua kwa michomo
Hahahahahahahah, Aya Bana Kwaiyo Mimi Ndo Nipo Kati Yenu Siyo Hahahahaha Aya Tuone Nani Mbabee Apo (Like This)
the bad guy
mwambie Khantwe tukutane mahakamani na ajiandae kisaikolojia kwa kitakachomkuta mdogo wakeHahahahahahahah, Aya Bana Kwaiyo Mimi Ndo Nipo Kati Yenu Siyo Hahahahaha Aya Tuone Nani Mbabee Apo (Like This)
Mmenifanya Nacheka Mwenyewe Kila Nikimuangalia Uyo Weird Hahahahahah Suzy Ni Ndeee Kwelii Kwelii
Yah Si Wameachana Baada Ya Kujua Kuwa Ni Bad Guy So Akaamua Kutokuwa Nae Kwenye Mahusiano...hahahaaaa umenikumbusha basi nilifikiri pale ndio wanaamua kuachana, hatari sana huyu director na muandishi watatuua kwa michomo
Hahaha Wewe Tunakujua Michezo Siyo, Unacheza Sana Rough Kwaiyo Hatuna Jinsi Japo Tunajitahidi Mi Na Khantwe Wangu Apa Kulistopisha Ilo Tukio...mwambie Khantwe tukutane mahakamani na ajiandae kisaikolojia kwa kitakachomkuta mdogo wake
[HASHTAG]#logOut[/HASHTAG]