lee min ho miaka 2 ni mingi mno kwake yeye ndio ameamua kutafuta sponsor,oppa,na dereva
kila la kheri lakini noona umeingia kubaya.Hahaha lol usintisheee sibanduki ng'oo
Hahahahah! Miwili Ni Mingi Sana Kiukweli Lol!!lee min ho miaka 2 ni mingi mno kwake yeye ndio ameamua kutafuta sponsor,oppa,na dereva
Nimemkubali jamaa na mautani yake3 flyng dragons.
nimehamia rasmi kwa afande han woo tak kumbe na yeye ana uwezo wa ku predict jambo litakalotokezea.
Thanks Damu,(Icho Ni Kifupi Cha Jina Lako) .....Sasa Umenivutia Niipakuee Nikachekeee Zaidi,.omo omo umenipa kazi ngumu sana ila
- episode ya 6 ndio utapata kuona mauaji ya baba yake jae chun kwenye super market
- kim so hyun na mama yake kuhamia kwao bae suzy
- jae chun anaamua kufanya uchunguzi upya wa kesi ila anakumbana na vikwazo kutoka kwa bosi wake na bad guy
- 3 flyng dragons wote wamezaliwa 1988
- yoo bom anafahamu niwapi kim so hyun na mama yake wanaishi
- wakiwa kwenye mgahawa wao suzi, Woo-tak anabaki kujiuliza kama ile ndoto aliyoiota itatokezea kweli, kwenye ndoto aliota atakuja kwenye mgahawa akiwa na rafiki yake ambaye ni polici ila kwenye tukio ni tofauti, pia aliota atakutana na jae chan njiani akiwa na rafiki ila kwenye tukio rafiki yake hakuwepo
- lakini mwisho wa siku aliota yoo bum atatembelea mgahawa wa kina hong jun ili apate kuzungumza na kim so hyun na mama yake tukio ambalo limekuja kutokea kweli
Yah, Nahisi..hahahaaaaaa unahisi nimekereka?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ninao wengi kweli hata Seung Gi nampendaga sema nakuogopa wewe hapo[emoji85] [emoji85]
Kabisa...unashindwaje kwa mfano ukiona mtu anaachia ngazi mapema hajafall yale ya kikorea yenyeweHuwa Atushindwi Tukimshika Mtu Si Etiiii Enheee????
Umesahau Kaserengetilee min ho miaka 2 ni mingi mno kwake yeye ndio ameamua kutafuta sponsor,oppa,na dereva
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Suzy na So Hyun wanavyoshushuana sasa kama wakewenzaomo omo umenipa kazi ngumu sana ila
- episode ya 6 ndio utapata kuona mauaji ya baba yake jae chun kwenye super market
- kim so hyun na mama yake kuhamia kwao bae suzy
- jae chun anaamua kufanya uchunguzi upya wa kesi ila anakumbana na vikwazo kutoka kwa bosi wake na bad guy
- 3 flyng dragons wote wamezaliwa 1988
- yoo bom anafahamu niwapi kim so hyun na mama yake wanaishi
- wakiwa kwenye mgahawa wao suzi, Woo-tak anabaki kujiuliza kama ile ndoto aliyoiota itatokezea kweli, kwenye ndoto aliota atakuja kwenye mgahawa akiwa na rafiki yake ambaye ni polici ila kwenye tukio ni tofauti, pia aliota atakutana na jae chan njiani akiwa na rafiki ila kwenye tukio rafiki yake hakuwepo
- lakini mwisho wa siku aliota yoo bum atatembelea mgahawa wa kina hong jun ili apate kuzungumza na kim so hyun na mama yake tukio ambalo limekuja kutokea kweli
,[emoji23] [emoji23] [emoji23] ninao wengi kweli hata Seung Gi nampendaga sema nakuogopa wewe hapo[emoji85] [emoji85]
Kweli Kabisaa Sasa Inabidi Watuachie Ukumbi Mziki Huu Tunaujua Wenyewe....Kabisa...unashindwaje kwa mfano ukiona mtu anaachia ngazi mapema hajafall yale ya kikorea yenyewe
Mkuu unaujua mtandao wa dramabeans?Thanks Damu,(Icho Ni Kifupi Cha Jina Lako) .....Sasa Umenivutia Niipakuee Nikachekeee Zaidi,.
Hahaa usijali mama nakuachia kiroho safi,
Apo Nakuomba Usogeee Pembeni kidogo Maana Naona jinsi tutakavyotoana Meno,
Uyo Kiukweli Naomba Uniachie Japo najua Unao Uwezo Wa Kumchukua.....Chini Ya Nyayoo