Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahahahahah, Mi Naomba Nikawe Shuhuda Ili Taarifa Zifike Kwa Haraka, Ila Usijari Khantwe Nitakuwa Pembeni Yako Nikijaribu Kukusaidia Kumchukue Uyu Bae Mpya

Ila Nawe Unao Wengi, Min Hoo Mshaachana Ama?? Na Yule Cha Kucheka Na Yule Nani Sijuh Damushin Saidia Apa Maana Mi Nishawasahu
lee min ho miaka 2 ni mingi mno kwake yeye ndio ameamua kutafuta sponsor,oppa,na dereva
 
3 flyng dragons.
nimehamia rasmi kwa afande han woo tak kumbe na yeye ana uwezo wa ku predict jambo litakalotokezea.
SSI_20171005113051_V.jpg
Nimemkubali jamaa na mautani yake
 
omo omo umenipa kazi ngumu sana ila
  1. episode ya 6 ndio utapata kuona mauaji ya baba yake jae chun kwenye super market
    whilesleeping0506-01284.jpg
  2. kim so hyun na mama yake kuhamia kwao bae suzy
  3. jae chun anaamua kufanya uchunguzi upya wa kesi ila anakumbana na vikwazo kutoka kwa bosi wake na bad guy
    whilesleeping0506-01009.jpg
  4. 3 flyng dragons wote wamezaliwa 1988
    whilesleeping0506-01460.jpg
  5. yoo bom anafahamu niwapi kim so hyun na mama yake wanaishi
  6. wakiwa kwenye mgahawa wao suzi, Woo-tak anabaki kujiuliza kama ile ndoto aliyoiota itatokezea kweli, kwenye ndoto aliota atakuja kwenye mgahawa akiwa na rafiki yake ambaye ni polici ila kwenye tukio ni tofauti, pia aliota atakutana na jae chan njiani akiwa na rafiki ila kwenye tukio rafiki yake hakuwepo
    whilesleeping0506-01426.jpg
  7. lakini mwisho wa siku aliota yoo bum atatembelea mgahawa wa kina hong jun ili apate kuzungumza na kim so hyun na mama yake tukio ambalo limekuja kutokea kweli
    whilesleeping0506-01600.jpg
Thanks Damu,(Icho Ni Kifupi Cha Jina Lako) .....Sasa Umenivutia Niipakuee Nikachekeee Zaidi,.
 
Hahahahahah, Mi Naomba Nikawe Shuhuda Ili Taarifa Zifike Kwa Haraka, Ila Usijari Khantwe Nitakuwa Pembeni Yako Nikijaribu Kukusaidia Kumchukue Uyu Bae Mpya

Ila Nawe Unao Wengi, Min Hoo Mshaachana Ama?? Na Yule Cha Kucheka Na Yule Nani Sijuh Damushin Saidia Apa Maana Mi Nishawasahu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ninao wengi kweli hata Seung Gi nampendaga sema nakuogopa wewe hapo[emoji85] [emoji85]
 
omo omo umenipa kazi ngumu sana ila
  1. episode ya 6 ndio utapata kuona mauaji ya baba yake jae chun kwenye super market
    whilesleeping0506-01284.jpg
  2. kim so hyun na mama yake kuhamia kwao bae suzy
  3. jae chun anaamua kufanya uchunguzi upya wa kesi ila anakumbana na vikwazo kutoka kwa bosi wake na bad guy
    whilesleeping0506-01009.jpg
  4. 3 flyng dragons wote wamezaliwa 1988
    whilesleeping0506-01460.jpg
  5. yoo bom anafahamu niwapi kim so hyun na mama yake wanaishi
  6. wakiwa kwenye mgahawa wao suzi, Woo-tak anabaki kujiuliza kama ile ndoto aliyoiota itatokezea kweli, kwenye ndoto aliota atakuja kwenye mgahawa akiwa na rafiki yake ambaye ni polici ila kwenye tukio ni tofauti, pia aliota atakutana na jae chan njiani akiwa na rafiki ila kwenye tukio rafiki yake hakuwepo
    whilesleeping0506-01426.jpg
  7. lakini mwisho wa siku aliota yoo bum atatembelea mgahawa wa kina hong jun ili apate kuzungumza na kim so hyun na mama yake tukio ambalo limekuja kutokea kweli
    whilesleeping0506-01600.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Suzy na So Hyun wanavyoshushuana sasa kama wakewenza
 
Back
Top Bottom