Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

happy birthday Song il kook kwa kutimiza miaka 46 siku ya leo na Mungu azidi kukupa baraka na afya njema pamoja na mke wako na watoto wako (daehan,minguk,manse)
1/10/1971 mwanamama kim eul dong alifanya kazi ngumu sana ya kukuleta duniani na alikulea na mpaka leo bado anaendelea kukusimamia maisha yako na kukushauri mambo mbali mbali yanayokuhusu.
22045987_1647612375278521_8123918073987008068_n.jpg

17458015_1456147004425060_7419485659060305394_n.jpg

22008470_1645737688799323_4951905270071909772_n.jpg
Huyu jamaa namkubali kinoma kama navyo mkubali aminas
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilicheka mwenzie mpaka kutaka kununua magari dabodabo. Ila inainyesha zilikuwa kweli maana episode hii ya saba kuna mahali walipoenda kutafuta ushahidi walikuwa wanaonyesha ile droo kwenye TV iliyokuwa pale ukumbini
Hata mm naona ilikuwa kwel
 
mazee Suzy anajua naichek uncontrollably fond nackia mwisho inahuzunisha ka moonlovers ila dah dem ni hatar
 
View attachment 606035
Happy birthday Your Highness, mwanamke mrembo mwenye bahati yake...Mungu akupe maisha marefu wewe na bae wetu
Ni Vizuri Sana Ukamkubari Mke Mwenza Na Mkawa Mnaelewana Kama Ivi.

Heri Yake Ya Kuongeza Umri Mwengine..

Kati Ya Mabinti Wa Kikorea Ninao Wakubari Sana Kuanzia Kazi Yake ya kwanza Mpaka Hii, Hongera Zake..

Damushin Mi Sijuhi Jinsi ya Kuunganisha Zile Video Za Youtube Naomba Uunganishe Ile Ost Yake Ya Kwenye Gu Family Book, ''Don't forget Me''.
 
[emoji23] [emoji23] raha sana ukiukubali ukweli. Mimi court lady nashindanaje na Queen sasa
 
Back
Top Bottom