Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aigoo naona leo umeona unikomesheee
Skuu Suzy mfollow insta anajua sn
Leo Nimeomba Hii Ridhaa Umu Ndani, Siku Yake Leo Sa Naona Acha Nimshushe Tuuh,Aigoo naona leo umeona unikomesheee
Amishafoliwa Samani ThanaSkuu Suzy mfollow insta anajua sn
Au sio fresh sema samani nimejielewesha mwenyeweAmishafoliwa Samani Thana
Anhaa! Samahani, Nilimaanisha Nishamfollow Zamani Tuuh...Au sio fresh sema samani nimejielewesha mwenyewe
Anatumia username ipi, Mkuu?Anhaa! Samahani, Nilimaanisha Nishamfollow Zamani Tuuh...
Sijawahi tumia app yoyote, je ipi itanifaa??Unatumia app gan kuzpata????
Mpaka Leo sijasahau ost za uncontrollable fond ni hatarimazee Suzy anajua naichek uncontrollably fond nackia mwisho inahuzunisha ka moonlovers ila dah dem ni hatar
Yaa ki woo bin ana Kansa ya koo lakini ameshafanyiwa matibabu anaweza ponaYule star wa kiume kwenye uncontrollably fond ni kweli anaumwa na kansa
Nakumbuka Lee jong suk anachukua kama million 80 hivi kwa episodehawa watu wanalipwa hela nyingi kinomaaaa najuta kuwa mtz yani US dollars 14000 per episode huyo ni Suzy naye ni wa 10 kwenye rank huku jpm kasema mshahara ushushwe
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
DramaniaNaomba msaada wa faith ntaipata wapi?
skuukzkyAnatumia username ipi, Mkuu?
Won au Dollars, Mkuu?Funga kazi kuna mmoja mpaka million 200 na hivi per episode