Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

IMG_30716c653.jpg
 
Aigoo naona leo umeona unikomesheee
Leo Nimeomba Hii Ridhaa Umu Ndani, Siku Yake Leo Sa Naona Acha Nimshushe Tuuh,

Ila Utanisamehe, Apo Kuna Picha Moja Ivi Nilitaka Andika Kuwa Ndomana Lee Min Alidondoka Apo Ila Nikajikuta Nabana Mikono Yangu Baada Ya Kukumbuka Kuna Mwengine Umu...Ikabidi Niuchune Tuuh
 
Back
Top Bottom