Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


And this is the part where she stepped outta the shower, asking her mom where is the shaver as she needed to shave...

Hahahahaha!

Hong Ju ahhhhhhhhhhhhhh... why are you so god damn funny?!?!
 
Song Il Kook's triplets to step onto the red carpet at Busan International Film Festival(BIFF)
Actor Song Il Kook's three adorable sons Daehan(republic), Minguk(korea), and Manse(long life=hooray) will be attending the 22nd Busan International Film Festival (BIFF) as guests.

According to a source on October 10th, the triplets from KBS 2TV's 'Superman Is Back' will get to walk down the grand red carpet at the star-studded gala.
Special seats have been reserved for the tiny trio in the kids section. Not only that but the three brothers will be attending the opening ceremony for the special occasion.

The event will go on from October 12-21
NB:
baadhi ya familia hata kama itatokezea wazazi wakaamua wasifanye kazi tena basi bado familia itaendelea kutengeneza kipato. heshima ilioje kwa watoto wenye umri wa miaka 5 kupata mualiko mkubwa kama huu.
 

And this is the part where she stepped outta the shower, asking her mom where is the shaver as she needed to shave...

Hahahahaha!

Hong Ju ahhhhhhhhhhhhhh... why are you so god damn funny?!?!
huyu mama yake suzy kwa jinsi anavyoonekana anajua kiingereza
 
Ili Jina La Manse Limenifanya Niikumbuke Rebel Na Ile Ost Yao Ya Manse..

Watoto Wa Nyoka Ni Nyoka AmewaPika Wakiwa Wadogo Sana...Sasa Watakula Ao Mpaka Wanaondoka Duniani...Watoto Ata Kujielewa Bado Lakini Wanatengeneza Ela Balaa....
 
View attachment 607030
South Korean Prince

aminas wanasema hainaga ushemeji tunafanyaga nini?
Hahahahahhahahahahaahahah......Naubadilisha Msemo Wansema Hatulagi...

Khantwe Uku Unakoenda Sasa Unavuka Bahari Badala Ya Mimi Na Wewe Tushikane Tuwatoe awa Ngozi Nyeupe Tuwachukue Maboo Zetu Wewe Nae Naona Unataka Anzisha Ligi Ya Wenyewe Kwa Wenyewe Uzalendo Kwanza Ujuee..
 
Hahaa nalipiza kisasi wewe jana mi nimejikaza kisabuni kumuwish maza hausi basi wewe ukafanya sherehe. Mkuki kwa nguruwe eeh?
 
Hahaa nalipiza kisasi wewe jana mi nimejikaza kisabuni kumuwish maza hausi basi wewe ukafanya sherehe. Mkuki kwa nguruwe eeh?
Hahahahahahahahaha, Daahh! Ila Jana Si Niliomba Ridhaa Yako Na Nikaona Kama Umekubari Sa Ikabidi Nimshushe..
Sikujua Kumbe Namkosea MTU Uku..

Ila Apa Umefika Mbali...
 
Million mia mbili kitanzania
sina uhakika sana ila malipo ya waigizaji yanatokana zaidi na bajeti ya drama au movies,ubora wa muigizaji na nguvu yake katika soko.
kwa mfano kwa wakati huu kama unataka kufunga mkataba na Song hye kyo au song joong ki kivyovyote naamini bajeti ya malipo itakua ni kubwa sana ukilinganisha na miaka iliopita kwa sababu umaarufu wao kwenye soko umeongezeka mno.

ila kwa mujibu wa taarifa ni kwamba muigizaji ghali nchini korea kusini ni Lee Byung Hun.
kwa mujibu wa Jung tae won ambaye ni director na pia muanzilishi wa Taewon entertainment ambao ndio wasimamizi wakuu wa drama ya IRIS 1,IRIS 2, ATHENA GODDESS OF WAR na IRIS movies ni kwamba Lee Byung Hun kwenye IRIS 1 alipewa bonus yenye thamani ya 1.2 billion won ($1.1 million~ USD) kutokana na mafanikio ya drama na kampuni ya japan na pia inasemekana alilipwa usd 100000 kwa kila episode.

kampuni ya TBS / Tokyo Broadcasting System, Inc. iliopo japan ilinunua haki za usambazaji wa drama ya IRIS nchini japan kwa($4.3 million).
tujaribu kujiuliza kama ndani ya korea analipwa kiasi kikubwa cha fedha je vipi kuhusu malipo ya hollywood ambapo alicheza movies kama vile.

GI JOE, RED 2, TERMINATOR GENESIS,THE MaGNIFICENT SEVEN.
bajeti ya drama mpya ya MR SUNSHINE ambayo yeye atakuwa muigizaji mkuu ni 1.5 billion won per episode (~US$1.5 million) tujaribu kujiuliza atalipwa kiasi gani?
 
Hahahahahahahahaha, Daahh! Ila Jana Si Niliomba Ridhaa Yako Na Nikaona Kama Umekubari Sa Ikabidi Nimshushe..
Sikujua Kumbe Namkosea MTU Uku..

Ila Apa Umefika Mbali...
Ee nimeona niguse ambapo patauma[emoji23] [emoji23] sasa ulidhani nitakataa nionekane nna kisirani? Vitu vingine unatakiwa ujiongeze mwenyewe mamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…