hahahaaaaa kifurushi kinaanza saa 5 usiku.Song manse ni balaaa hunifurahisha akiwa na njaa, minguk atajifanya kuimba yeye ni mwendo wa kulaHahaa jana nimejiunga cha usiku nikaishia kumuangalia mchumba wangu Song Manse...sio kwa usingizi ule
Minguk kiboko yaani anakariri wimbo kama mtu mzima lohhahahaaaaa kifurushi kinaanza saa 5 usiku.Song manse ni balaaa hunifurahisha akiwa na njaa, minguk atajifanya kuimba yeye ni mwendo wa kula
hahahahaaaaa wana wimbo wao wa tyranno na katuni ya robot polli wanaweza kuimba na kucheza siku nzima.basi kuna episode moja song daehan alikuwa kwenye mzuka alikinukisha balaa watu wote ndani kimyaMinguk kiboko yaani anakariri wimbo kama mtu mzima loh
kwa jinsi inavyoonekana Song minguk amerithi akili za mama yakeMinguk kiboko yaani anakariri wimbo kama mtu mzima loh
Ni nani kati yao unahisi amerithi vitu vingi kutoka kwa baba?kwa jinsi inavyoonekana Song minguk amerithi akili za mama yake
duh kiukweli sijapata kuona mapacha wa ajabu kama song triplets.Ni nani kati yao unahisi amerithi vitu vingi kutoka kwa baba?
Hata mimi nilikuwa naona Daehan ndo anafanana na baba yakeduh kiukweli sijapata kuona mapacha wa ajabu kama song triplets.
- song daehan naona kama amerithi tabia nyingi za baba yake kuanzia urefu wa kimaumbile,anapenda kupiga picha,mwenye aibu.
6:54 -ahjussi ni ruhusa kuendesha? hutaki kuendesha. hahahahaaaa.Hata mimi nilikuwa naona Daehan ndo anafanana na baba yake
The moon embracing the sunHivi yule chalii aliyecheza MY LOVE FROM ANOTHER STAR series zake zingine ni zipi?
Imakwenda kwa tittle gani aisee!
Hii Kitu,Hii Kitu! Hii Kitu Lalalalalalala, Nimejikuta kuona Kesho Mbali...
Sijawahi Kuona Drama Yeyote Toka OCN, Hii Ndo Yangu Ya Kwanza God....
Itafuteni Ni Drama Ya Kutuliza Akili Kidogo, Drama Ya Kukufanya Uwe na Sura Ya Mkazo Wakati Unaitazama Ili Lisikupite Ata Neno Moja NA Ni Drama Inayochanganya, Ni Inachanganyaa Kabisaaa Kwa Izi Episode 2 Si ya Mchelemchele Hii.....
Recommend...