Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Uchale ni nini mkuuAh ujue hata huko kuamua kuangalia ni kwa sababu ya Ji Chang-wook,ila pia nikaona haikunivuatia uchale ulizidi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchale ni nini mkuuAh ujue hata huko kuamua kuangalia ni kwa sababu ya Ji Chang-wook,ila pia nikaona haikunivuatia uchale ulizidi sana.
Comedy ilizidi sana.Uchale ni nini mkuu
Mmh kweli mbona ya kawaida mkuu sema hukuipenda maana kwa uzoefu wangu wa kuangalia kdrama sijawahi kuona drama isiyo comedy kabisaComedy ilizidi sana.
Mh!zipo sikumbuki ile 3 days kama ilikuwa na comedy,tatizo sio kuwepo comedy ila binafsi naona kwenye suspicious parter comedy yake kama ilizidi ikawa inaharibu,kuna sehemu hazikupaswa kuweka comedy.Mmh kweli mbona ya kawaida mkuu sema hukuipenda maana kwa uzoefu wangu wa kuangalia kdrama sijawahi kuona drama isiyo comedy kabisa
Mimi nimeipenda kwa kweli ukizingatia bwana shemela sijawahi kumuona ameigiza drama ya staili ileMh!zipo sikumbuki ile 3 days kama ilikuwa na comedy,tatizo sio kuwepo comedy ila binafsi naona kwenye suspicious parter comedy yake kama ilizidi ikawa inaharibu,kuna sehemu hazikupaswa kuweka comedy.
Dream highHivi yule chalii aliyecheza MY LOVE FROM ANOTHER STAR series zake zingine ni zipi?
Drama Kali za serious zinapatikana OCN kuanzia tunnel,save me,voice,vampires prosecutor na nyngne nyng,drama za kutisha kama kawa ni TVNOCN sio sana za mapenzi hawa,mie nimepata kuiona nyengine inaitwa 타널(Tunnel).
Afadhali umekuja sunbae hebu sema nae huyo aminas kabla sijaapply black magic
hahahaaaa anajifanya amesahau ya kwamba ulimtakia heri ya kuzaliwa song seung hun,anataka vita ya tatu ya dunia si umeona anavyojaribu makombora kwenye mipaka yakoAcha mambo yako wewe si ndo ulikuwa unashadadia Damushin alivyokuwa anasema atanipambanisha na mchina leo na wewe unataka makubwa haya
Hahaa anajifanya hajui eti...yaani huyu nitamnyang'anya Mr Lee hatoamini kilichotokeahahahaaaa anajifanya amesahau ya kwamba ulimtakia heri ya kuzaliwa song seung hun,anataka vita ya tatu ya dunia si umeona anavyojaribu makombora kwenye mipaka yako
aigooooo naomba munipe taarifa na mapema kuhusiana na uwanja wa mapambano mutakaoutumia.Kwaiyo Jumla Tuko Watatu Ama!?? Hahahahah
Inabidi Tubanane Tuuh Hakuna Jinsi ..
bado siku 10 tu mtu wake arudi, lakini waswahili wanasema dawa ya moto ni moto kama akijaribu kujiingiza kwa song seung hun na wewe unapaswa uajiri dereva maalum wa kukupeleka market na nahisi kazi hiyo inamfaa mwanajeshi lee seung giAfadhali umekuja sunbae hebu sema nae huyo aminas kabla sijaapply black magic
Haswaa tena ndo kwanza damu bado inanichemkabado siku 10 tu mtu wake arudi, lakini waswahili wanasema dawa ya moto ni moto kama akijaribu kujiingiza kwa song seung hun na wewe unapaswa uajiri dereva maalum wa kukupeleka market na nahisi kazi hiyo inamfaa mwanajeshi lee seung gi