Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

DMzUvWPW4AAPFja.jpg

Cheif Choi a k a Detective CRAZY DOG
 
Dramas actor ranking 3rd week of Oct.

No 02: [HASHTAG]#Suzy[/HASHTAG]

No 04: [HASHTAG]#LeeJongSuk[/HASHTAG]

No 10: [HASHTAG]#JungHaeIn[/HASHTAG]

Naona Wifi wa kimataifa Anavunja Record Tuuh
 
Ile scene ya kwenye Bus ndiyo usiseme,mwenye kapata seat kakaa mara anakuja bibi[emoji16] [emoji16] Nilicheka sana.
a80abbc622880bd91dae452d51e645e3.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani mmenikumbusha nimeanza upya kucheka anagoma kujishikilia basi linamyumbisha huku na kule baadae kamkanyaga baba wa watu anaambia aombe radhi eti does it hurt'? If I apologize will it hurt less? Amepata siti anaambiwa kaa anagoma eti 'I don't take orders from humans'
 
Yaah Ndo Yeye Ile Mule Nywele Sijuh Kapaka Nini Anajifanya Kama Mzee...
Mwaka huu ameigiza nyng sana huyu crazy dog kuanzia criminal mind akienda kwa jina la riper alikuwa serial killer,strong woman do bong soo akiwa member wa genge la wahuni,while you were sleep prosecuto na hapa black kama crazy dog
 
Damushin sunbae nisaidie kuunganisha dots kabla hunaondoka (while yo were sleeping)
1.Han woo Tak ni nani? Mbona uwepo wake siuelewi hata
2. Kuna siri gani kubwa inayomhusu? Nakumbuka yule rafiki yake alimwambia asipomuokoa na ile kesi atatoa siri
3. Yule kaka wa muuaji wa baba wa Hong Joo na mwenzie yuko wapi?
4. Yule mtuhumiwa wa mauaji ni nani mbona kama anafanana na yule mwanajeshi?
5. Mbona lawyer Lee anatumia nguvu kubwa kumkandamiza yule mtuhumiwa. Mimi nahisi yeye ndo anahusika kwa namna moja au nyingine na mauaji ya yule dada maana alipaniki sana aliposikia mtuhumiwa ameachiwa huru
Khantwe noona maswali yako mengi nashindwa kuyajibu kwa sababu episode ya 13,14,15 sijaziangalia mpaka muda huu hivyo basi usije ukawa na dhana ya kuwa nimekupotezea.
mian haeyo nuna
 
TAMTHILIA TATU BORA ZINAZOENDELEA HIVI SASA KOREA

BLACK
Black ni jina la askari mpelelezi ambaye amechukuliwa mwili wake na malaika mtoa roho,ha rim ni msichana mchangamfu mwenye uwezo wa kuona vivuli vya vifo vya watu.Je black na ha rim wanapoungana na kuzuia vifo hivi watafanikiwa?je yapi yatabadilika katika maisha ya kila Siku?usikose
55096adef8148bd811e89499de029112.jpg


GOOD THIEF BAD THIEF
Jang dol muk ni kijana mwenye uwezo mkubwa kiakili,anakumbana na kifo cha baba ke mzazi na kushuhudia mauaji hayo yeye mwenyewe katika umri wa miaka minne,hii inabadilisha mustakabali mzima wa maisha yake anapokua MTU mzima anaamua kupambana na kikundi cha watu waliostaarabika katika nchi ya Korea.je yapi yatatokea pale anapokuja kujua kwamba kikundi hicho ndicho kinachohusika katika uharibifu wa familia yake,ikiwa lengo lake ni kuwaibia matajiri na kuwasaidia masikini
8fefc8b2a78aacdbf9a45e135898d18d.jpg


WHILE YOU WERE SLEEP
Jae chan ni kijana muajiriwa katika ofisi moja ya serikali ya mambo ya sheria mjini Seoul,msuchana hong anauwezo wakuona Yale yatakayotokea Siku za mbeleni katika maisha ya watu wengine na yake kwa ujumla,je chan na hong wanapoungana ili kuzuia matukio hayo watafanikiwa?while you were sleep si ya kukosa
4fe11315175848076f1d79a306c192a8.jpg

Chanzo kutoka www.heromedi.blogspot.com
 
Khantwe noona maswali yako mengi nashindwa kuyajibu kwa sababu episode ya 13,14,15 sijaziangalia mpaka muda huu hivyo basi usije ukawa na dhana ya kuwa nimekupotezea.
mian haeyo nuna
Damushin Mimi naona while you were sleep angekuwa bae Suzy pekeee ndo anaona future ingekuwa tam zaid maana wengi hivyo MTU unaona kabisa kama uongo
 
hizi drama zenye kunifanya niumize kichwa sana ninapoziangalia utafikiri nafanya mtihani wa hesabati bila ya kuwa na scientific calculator nitaachana nazo kuziangalia kwa sababu ninapomaliza kuzitazama hunifanya nitamani kuzirejea tena ili nipate kuzielewazaidi .Sisi waafrika hatujazoea kuumiza vichwa sana hivyo basi while you were sleeping na black drama huenda nikazipotezea. dama ya black bado kuna mambo yananichanganya hivyo basi chingus nahitaji munisaidie. haya ni baadhi ya mambo niliojifunza kwenye black drama
  1. mwanadada kang ha ram (go ara) muda wote anavaa miwani ambayo alipewa na baba yake ambaye alikuwa ni detective, anavaa miwani kwa sababu ya uwezo wake wa kuona kivuli cha kifo anapomuangalia mtu pindi asipovaa miwani, lakini bahati mbaya hana uwezo wa kutoa msaada wowote ili kuepusha tukio la kifo, ukiangalia wasifu wa kang ha ram na hong joo (bae suzy) wa kwenye while you were sleeping wanafanana kwa sababu wote wana uwezo wa kuona tukio la baadae lakini hawana uwezo wa kulibadilisha tukio hivyo basi wote wanahitaji mtu wa kuwaongoza.ha ram anamtegemea detective han moo gang na hong joo anamtegemea prosecutor jae chan. na wote wawili wamekuwa wakijilaumu kwa kushindwa kuzuia tukio la kifo la baba zao.
  2. mpaka sasa nimeshindwa kufahamu ni kwa sababu ipi inayomfanya kang ha ram awe na uwezo wa kuona kivuli cha kifo, yeye binafsi anaona ni kama laana lakini detective han moo gang anamuona kama amejaaliwa kipaji kutoka kwa Mungu. je inawezekana ha ram ana mahusiano ya karibu na grim reaper?, kwa sababu baadae ha ram atajikuta naye akiwa na mahusiano na black ambaye ni grim reaper.
  3. han moo gang ni detective ambaye ni mzembe sana anapokuwa kazini lakini kumbe anapokuwa kwenye maeneo yake ni mtu mmoja mjanja sana na alikuwa anachunguza kesi iliotokezea miaka ya zamani ambapo kesi hiyo pia ilikuwa inamhusu mpenzi wake Soo wan ambaye ni daktari wa upasuaji katika hospital.Han moo gang kwenye mkono wake alikuwa anavaa bracelet, hapo zamani ha ram alimpa zawadi ya bracelet kama ile mchumba wake ambaye alikuwa anaitwa joon ambaye alikuwa na ndoto ya kuwa detective pindi atakapokuwa mkubwa. kama han moo gang ndiye joon kwa nini amebadilisha jina lake?
  4. oh man soo ni kijana anayefanya kazi kwenye kampuni ya bima na pia anachukiwa sana na kaka yake, pia ana ukaribu sana na ha ram na anamini ha ram ana uwezo wa kupiga ramli na mwisho wa siku anamuomba afanye kazi katika kampuni yake ili amsaidie kujua mambo yatakayowatokezea wateja wao.kwa kumtumia ha ram ambaye ana uwezo wa kuona kifo ataweza kujua ni mtu gani tunapaswa kuingia naye mkataba wa bima na yupi hatupaswi kuingia naye mkataba wa bima,na kampuni ya bima ya royal ndio iliohusika na tukio la moto lilitokezea maeneo ya Moojin miaka 20 iliopita na ndio tukio lililopelekea kifo cha baba yake ha ram.
  5. mwishoni mwa episode ya 1 detective han moo gang alipigwa risasi na muuaji kwa makusudi na yeye alikuwa ni mateka na pale wapigaji risasi walikuwa ni wawili na alipopelekwa hospitali alifariki dunia. baade ameonekana hajafariki lakini amepoteza kumbukumbu zake na kufanya matukio ya ajabu kama vile kutembea bila ya nguo ya kujisitiri sehemu yake ya siri, kujibizana na bosi wake,pia kutokuogopa tena maiti kama ilivyokuwa kawaida yake na pia amekuwa na uwezo mkubwa sana wa kuchunguza matokeo ya uhalifu.
  6. kiukweli detective han moo gang amefariki kwa kupigwa risasi lakini ndani ya mwili wake ameingiliwa na gream reaper number 444 ambaye ni kim tae woo na amekuja kwenye dunia kumtafuta mwenzake ambaye amekimbia, hivyo basi tabia zote anazozionyesha han moo gang si za binadamu wa kawaida ila ni tabia za gream reaper.kwa sababu gream reaper ana uwezo wa kufahamu jinsi gani binadamu alifariki, ana upeo mkubwa sana na ana nguvu na ndio maana kwenye episode ya 3 han moo gang aliwapiga majambazi mpaka wenzake wakashangaa uwezo wake.
    4_(4)_1.JPG
  7. hivyo basi kwenye episode ya kwanza han moo gang ndio yule yule ambaye anafahamiana na ha ram ila episode zinazofuata black hamfahamu ha ram kwa sababu sura ni ya han moo gang ila matendo ni ya gream reaper no 444 . na inawezekana han moo gang alipatwa na ugonjwa wa kusahahu ndio maana ameshindwa kumtambua ha ram ambaye walikuwa ni marafiki tokea utotoni, na pia anashindwa kujibu barua zake kwa sababu amemsahau ha ram lakini bado najiuliza kama amemsahau kang ha ram mbona bracelet aliyopewa hajaitupa na anaithamini?
  8. kuna gream reaper mmoja amevaa nguo za kizamani (hanbok) na kwa jinsi inavyoonekana alikuwepo wakati wa utawala wa joseon na kuna sehemu moja alisikika akisema kumwambia mwenzake ya kwamba alishuhudia kifo cha crown prince sado ambaye alifungwa gerezani na baba yake kwa siku saba bila ya kupewa chakula na prince sado alikuwa ni baba yake mfalme yi san, anashirikiana na gream reaper 444 kwa ajili ya kumtafuta mwenzao aliyekimbia na kujificha kwenye mwili wa binaadamu na ndio maana gream reaper 444 akajiingiza kwenye mwili wa detective han moo gang.
  9. kwa inavyoonekana kisheria gream reaper hapaswi kuwa na mahusiano na mtu ambaye tayari ana mahusiano na mwenzake na kuingilia mahusiano ya watu kwao wao ni makosa, kwenye episode ya 2 mwanzoni tulishuhudia tukio la mauaji la wapenzi wawili wakiwa kwenye gari, ukiangalia macho ya gream reaper aliefanya mauaji yale inaonekana dhahiri alimpenda yule msichana aliekufa na kisheria hapaswi kumpenda kwa sababu tayari ana mchumba wake, hivyo basi yule gream reaper alivunja sheria
    8Wv7Jm.png
    inawezekana gream reaper huyu ndiye anayetafutwa na gream reaper 444 ambaye amejiingiza kwenye kiwiliwili cha detective han moo gang na je inawezekana huyu ndio baba halisi wa ha ram na si yule detective?
  10. mwanzoni mwa episode ya 1 anaonekana black akijitupa kwenye maji na alipofika chini ya maji aliona gari ambayo ndani yake alikuwemo mtu ambaye alikwisha kufa na amefanana naye na akawa anajiuliza inawezekanaje tukafanana,je inawezekana gream reaper 444 alikufa baada ya gari kutumukia kwenye maji?
  11. je inawezekana yule mbwa wa oh man soo ambaye humwita kwa jina la Oh Gip Seo ana uwezo wa kuwaona gream reaper na pia ana uwezo wa kuona kifo kwa sababu tumeona alivyokuwa anasumbuana na black, na pia kwenye tukio la kutaka kujinyonga kwa ha ram yule mbwa alikuwa nje lakini alifahamu ya kwamba kang ha ram anajinyonga.
Khantwe ,aminas ,mbelwaz ,UHURU JR ,EMPTY
 
Back
Top Bottom