Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nilikutolea povu mbona unapenda kunisingizia lakini? Nilikuwa naona uvivu kuendelea tena ila nimeona wacha niimalizie tusi ulinambia huifatilii tena while you were sleeping, nakumbuka ulinitolea povu la sabuni ya omo