Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Yah Ndo Ipo Ivyo Han Mo gang Alikufa Kwa kupigwa Na Risasi Na Black yeye Yupo Kwenye Mishe Ya Kumtafuta Yule Msaidizi Mwenzie Ndo Akaamua Kuutfuta Mwili Wa Binaadamu Aingie Ili Aweze Kumtafuta Uyo Grim Reaper Mwenzie..hahahahaaaaa kiwiliwili ni cha detective han moo gang ila vitendo vinafanywa na gream reaper 444 ambaye anajiita black.han moo gang tayari ameshafariki. au wewe unaonaje?
Na Akaamua kuuchagua Mwili wa Detective Han, Ila Kumbe Detective Han Ni Ana Matukio Mengi Tuuh Ambayo Yalimtokea au Kuyafanya Kipindi Yupo Hai Sa Inakuwa Kama Mwendelezo Wa Ayo Mambo Wakati Yeye Muhusika Ayupo Ulimwenguni, Ndomana ATA Black Mwenyewe Anashindwa Kuelewa Han Alikuwa Ni Mtu Wa Aina Gani Kwa Jinsi Anavyoandamwa..
Na Black Anaamua Sasa Kupigana Na Mambo Matatu.
1;Kumtafuta Uyo Gream Reaper Mwenzie Kwa Kuanza Kutumia Msaada Wa Ha-Ram Kwa Uwenzo wa Kuona Izo Shadow
2; Kupambana Na Maaduhi Wa Han Mo Gang Ili Kuulinda Uo Mwili Usidhulike Kwa Mara Ya Pili Tena Kwani Atashindwa Kutekeleza Adhima Yake.
3;Kuwa Msaada kwa Ha-Ram Ambaye Anahitaji Msaada Wake Uku Akihitajika Kumsaaidia Ha-Ram Kutimiza Malengo ya Kuepusha Vifo Vya Watu Kwaiyo Ana Budi Kumsaidia Ili Naye Amsaidie, Na Ni Kazi Nyengine Iyo Na Nahisi Hiii Kazi Ndo Itakayompa Shida Kule Kwa Boss Wake Kushirikiana Na Binaadamu Kuepusha Vifo Vya Watu Wakati Wao Wanahitaji Kuchukua Roho Za Watu..
Panapokuja Kuchanganya Ni Kuwa Atumjuhi HAN MO GANG AU JOON MISHE ZAKE HASA ZILIKUWA NI NINI!
Atujuhi Kuwa Yule Mchumba Wa Han Ni Nani Hasa Nae Ni Ana Mishe Gani Hasa.
Atujuhi Black Alikuwa Ninani Before Mpaka Nae Amekuwa Kama Kitovu Cha Ichi Drama,
Ha-Ram Na Uwezo Wake Alipoutoa, Kifo Cha Baba Yake Kisababisha Hasa Ni Nani!
Na Mengineyo Mengi Ila Ao Ndo Wakitovu Wenyewe.