Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

g1nfBcJ.gif

MAo9wiV.gif

GREEN PRINCE AND GREEN PRINCESS
Hahahahhahaha Iyo Cheza Yao Tuuh....
 
breaking news
muigizaji kim joo hyuk amefariki dunia leo hii baada ya kupata ajali ya gari majira ya saa 10:30 jioni kwa saa za korea.miongoni mwa drama alizoigiza ni pamoja na god of war na drama ya mwisho kushiriki ni ARGON
pumzika kwa amani ahjussi
DNYEc2OUQAAekMw.jpg

DNYL-SIUMAAjKay.jpg
 
Kweli mkuu! Wakongwe wengi tuliooanza nao wengi wamepotea! Sijui tatizo ni nini!
Wao ndio walioutambulisha huu ulimwengu wa KDrama kwetu.

Sunbae, Damushin! Ukihama huu uzi basi nishike mkono tuhame pamoja.
omo omo omo ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta thread nyengine nzuri za kuchangia hivyo basi naomba unisaidie hyungnim kutafuta.
 
breaking news
muigizaji kim joo hyuk amefariki dunia leo hii baada ya kupata ajali ya gari majira ya saa 10:30 jioni kwa saa za korea.miongoni mwa drama alizoigiza ni pamoja na god of war na drama ya mwisho kushiriki ni ARGON
pumzika kwa amani ahjussi
DNYEc2OUQAAekMw.jpg

DNYL-SIUMAAjKay.jpg
Maskini wee nashukuru sijawahi kumuona poleni na msiba Korean family.[emoji24] [emoji24]
 
breaking news
muigizaji kim joo hyuk amefariki dunia leo hii baada ya kupata ajali ya gari majira ya saa 10:30 jioni kwa saa za korea.miongoni mwa drama alizoigiza ni pamoja na god of war na drama ya mwisho kushiriki ni ARGON
pumzika kwa amani ahjussi
DNYEc2OUQAAekMw.jpg

DNYL-SIUMAAjKay.jpg
MBELE ZAKE NYUMA YETUU...

Mola Ampokee..

Iyo Picha Inavyoonekana Kama Alitaka Kupanda Ngazi Ama Gari Limeshuka Ngazi..
 
Hii Iko Nje Ya Korea....Nilikuwa Nahitaji Site Ya Movie Za Kihindi, Kuna Hiii Movie Ya Ae Dil Hai Mushkil Ya Ranbir Kapoor Ninaitafuta Kweli Nimejaribu Angalia YOUTUBE ILA NAKO MIZINGUO..
 
Wakuu nauliza kwa aliyeiangalia goodbye mr black.
Je ina action kaliii?
Maana nataka kuanza kuidownload niiangalie..isije nipotezea mb zangu na usingizi wangu
Mimi niliangalia nusu sikumaliza ila haina action kali.
 
Back
Top Bottom