Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilicheka jamani pale anajichanua tu miguu hana habari af anamuamrisha bosi wake kama mdogo wake vileYupo Vizuri..
Ile Episode Alokuwa Anatembea Mambo Nje! Daahh!! Hana Khabari Sasa Na Asivyowaheshimu Boss Zake
Asa Yule Anayemuita ''CRAZY DOG''
Hivi ndo huyu eeh?![]()
CRAZY DOG MWENYEWE NDO Huyo Mzee Apo Naona Kala Shavu La Uku Na Uku...
Yaah Ndo Yeye Ile Mule Nywele Sijuh Kapaka Nini Anajifanya Kama Mzee...Hivi ndo huyu eeh?
Crazy dog.Yaah Ndo Yeye Ile Mule Nywele Sijuh Kapaka Nini Anajifanya Kama Mzee...
Yah Crazy DogCrazy dog.
Ile scene ya kwenye Bus ndiyo usiseme,mwenye kapata seat kakaa mara anakuja bibi[emoji16] [emoji16] Nilicheka sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilicheka jamani pale anajichanua tu miguu hana habari af anamuamrisha bosi wake kama mdogo wake vile
Yupo Vizuri..
Ile Episode Alokuwa Anatembea Mambo Nje! Daahh!! Hana Khabari Sasa Na Asivyowaheshimu Boss Zake
Asa Yule Anayemuita ''CRAZY DOG''
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani mmenikumbusha nimeanza upya kucheka anagoma kujishikilia basi linamyumbisha huku na kule baadae kamkanyaga baba wa watu anaambia aombe radhi eti does it hurt'? If I apologize will it hurt less? Amepata siti anaambiwa kaa anagoma eti 'I don't take orders from humans'Ile scene ya kwenye Bus ndiyo usiseme,mwenye kapata seat kakaa mara anakuja bibi[emoji16] [emoji16] Nilicheka sana.
![]()
Dramacool na drama3s huwa hawacheleweshiDah! Kissasian inazingua toka jana hadi sasa sijatizama Black ep ya 3&4 .
Mwaka huu ameigiza nyng sana huyu crazy dog kuanzia criminal mind akienda kwa jina la riper alikuwa serial killer,strong woman do bong soo akiwa member wa genge la wahuni,while you were sleep prosecuto na hapa black kama crazy dogYaah Ndo Yeye Ile Mule Nywele Sijuh Kapaka Nini Anajifanya Kama Mzee...
Khantwe noona maswali yako mengi nashindwa kuyajibu kwa sababu episode ya 13,14,15 sijaziangalia mpaka muda huu hivyo basi usije ukawa na dhana ya kuwa nimekupotezea.Damushin sunbae nisaidie kuunganisha dots kabla hunaondoka (while yo were sleeping)
1.Han woo Tak ni nani? Mbona uwepo wake siuelewi hata
2. Kuna siri gani kubwa inayomhusu? Nakumbuka yule rafiki yake alimwambia asipomuokoa na ile kesi atatoa siri
3. Yule kaka wa muuaji wa baba wa Hong Joo na mwenzie yuko wapi?
4. Yule mtuhumiwa wa mauaji ni nani mbona kama anafanana na yule mwanajeshi?
5. Mbona lawyer Lee anatumia nguvu kubwa kumkandamiza yule mtuhumiwa. Mimi nahisi yeye ndo anahusika kwa namna moja au nyingine na mauaji ya yule dada maana alipaniki sana aliposikia mtuhumiwa ameachiwa huru
Damushin Mimi naona while you were sleep angekuwa bae Suzy pekeee ndo anaona future ingekuwa tam zaid maana wengi hivyo MTU unaona kabisa kama uongoKhantwe noona maswali yako mengi nashindwa kuyajibu kwa sababu episode ya 13,14,15 sijaziangalia mpaka muda huu hivyo basi usije ukawa na dhana ya kuwa nimekupotezea.
mian haeyo nuna
Umenene vema, Mkuu!Damushin Mimi naona while you were sleep angekuwa bae Suzy pekeee ndo anaona future ingekuwa tam zaid maana wengi hivyo MTU unaona kabisa kama uongo
si ulinambia huifatilii tena while you were sleeping, nakumbuka ulinitolea povu la sabuni ya omoHaya