Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Chonde usijeanza kutamani mume wa jirani yako[emoji13]
 
Chonde usijeanza kutamani mume wa jirani yako[emoji13]
Kwanza Umemuona Kuanzia Pale Kwa Shingo Mpaka Kwa Mkanda( Hahaahahahahah Natania)...

Ila Mi Nilisema Mpaka Wale Wawili Wanichoke ndo Nitaanza Kwa Mwengine Ila Uyu Nae Yuko Poa Kama Si Mkorea...
 
Kwanza Umemuona Kuanzia Pale Kwa Shingo Mpaka Kwa Mkanda( Hahaahahahahah Natania)...

Ila Mi Nilisema Mpaka Wale Wawili Wanichoke ndo Nitaanza Kwa Mwengine Ila Uyu Nae Yuko Poa Kama Si Mkorea...
[emoji23] [emoji23] kama si mkorea? Unamaanisha wanaume wakorea sio wahendasam? Nakupa tu tahadhari tusijeshikana mashati
 
OCN sio sana za mapenzi hawa,mie nimepata kuiona nyengine inaitwa 타널(Tunnel).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…