Itakuwaa..Nimependa tabasamu zao.
Mkuu,
Hilo vazi la Noona vipi? Au ndio msimu wa baridi?
hahahahaa umenifanya nicheke kama zuzu, tafadhali agiza bakuli la urojo nitalipa.Itakuwaa..
Mzee wa Moooooraa,Hahahahahah Uyu Binaadama Umu Ndani Kacheza Yaani..
Kwenyee Hii Scene Alikuwa Anaongee Na Awa Ma Reaper Wenzie Yuko Nao Busy Kweli Then Watu Pembeni Wanamshangaa Anavyoongee Mwenyewe! Tena Huku Hana Khabari...Boo, One Of Ma Boo....
Huyo jamaa ni noma, ule userious wake ndio unaniacha hoi mm. Yaani matendo yake Mi huwa nacheka tu kila sehemu napenda nimuone yy tu yuko very interested na anacho fanya Jamaniii huyu mtu.hahahahaa umenifanya nicheke kama zuzu, tafadhali agiza bakuli la urojo nitalipa.
uyo gream reaper bishoo ananimaliza sana tabia zake.
mwolago?
Hapo Jamaa alinichekesha balaa alipokuwa akisema kila wakati Ni JoonItakuwaa..
Mzee wa Moooooraa,Hahahahahah Uyu Binaadama Umu Ndani Kacheza Yaani..
Kwenyee Hii Scene Alikuwa Anaongee Na Awa Ma Reaper Wenzie Yuko Nao Busy Kweli Then Watu Pembeni Wanamshangaa Anavyoongee Mwenyewe! Tena Huku Hana Khabari...Boo, One Of Ma Boo....
ya zamani lakini mwanadada lee young ae urembo wake umebaki vile vile licha ya kuwa ana miaka 46. jewel in the palace itabaki kuwa ni drama bora kuonyeshwa na MBCJewelly in the Palace
Sa-Sa-Sa (444) anapoelekea pabaya.Itakuwaa..
Mzee wa Moooooraa,Hahahahahah Uyu Binaadama Umu Ndani Kacheza Yaani..
Kwenyee Hii Scene Alikuwa Anaongee Na Awa Ma Reaper Wenzie Yuko Nao Busy Kweli Then Watu Pembeni Wanamshangaa Anavyoongee Mwenyewe! Tena Huku Hana Khabari...Boo, One Of Ma Boo....
hii Drama hakika ni bora sana naipenda sana maana najifunza vingi kila nikiitazama, ndio drama yangu ya kwanza kuipenda kwa korea ukiacha zile za action Jumong.ya zamani lakini mwanadada lee young ae urembo wake umebaki vile vile licha ya kuwa ana miaka 46. jewel in the palace itabaki kuwa ni drama bora kuonyeshwa na MBC
Hii Drama bado sijaiangalia. Umepita muda mwingi tangu mara ya mwisho nitembelee Joseon hivyo acha nikaisake.ya zamani lakini mwanadada lee young ae urembo wake umebaki vile vile licha ya kuwa ana miaka 46. jewel in the palace itabaki kuwa ni drama bora kuonyeshwa na MBC
Mkuu wa hiz kazi nipe maelezo ya kutosha kuhusu hili gomaya zamani lakini mwanadada lee young ae urembo wake umebaki vile vile licha ya kuwa ana miaka 46. jewel in the palace itabaki kuwa ni drama bora kuonyeshwa na MBC
na ndio drama iliofanya sanaa ya korea kutambulikana duniani.kutokana na mafanikio ya drama hii kituo cha MBC waliamua film location yao walioojenga kuipa jina la dae jang geum park.kinachovutia ni kwamba wenzetu wameifanya sanaa ni kama kitega uchumi kikubwa sana kwa nchi yao lakini kwetu sisi ni tofautihii Drama hakika ni bora sana naipenda sana maana najifunza vingi kila nikiitazama, ndio drama yangu ya kwanza kuipenda kwa korea ukiacha zile za action Jumong.
Aisee chief unanifanya niende kuitafuta niicheki tena, mandhari yake yalinivutia sanaana ndio drama iliofanya sanaa ya korea kutambulikana duniani.kutokana na mafanikio ya drama hii kituo cha MBC waliamua film location yao walioojenga kuipa jina la dae jang geum park.kinachovutia ni kwamba wenzetu wameifanya sanaa ni kama kitega uchumi kikubwa sana kwa nchi yao lakini kwetu sisi ni tofauti
story yake inasikitisha na kutia moyo piana ndio drama iliofanya sanaa ya korea kutambulikana duniani.kutokana na mafanikio ya drama hii kituo cha MBC waliamua film location yao walioojenga kuipa jina la dae jang geum park.kinachovutia ni kwamba wenzetu wameifanya sanaa ni kama kitega uchumi kikubwa sana kwa nchi yao lakini kwetu sisi ni tofauti
Dramas za Love Triangle nakuwa immersed nazo vibaya hadi nafikia kulia na kuumia mimi badala ya muhusika wa kwenye Drama. (I'm introverted and empathetic by nature)hahahahaaaa zinavutia sana drama zenye kuzungumzia love triangle.
ni kweli uyo mwanadada amepelekea mapinduzi makubwa sana kwa wanawake wenziwe nchini korea, madaktari wote wa kike nchini korea wanapaswa wamshukuru sana dae jang geum kwa kuwapigania haki zao.story yake inasikitisha na kutia moyo pia
emperor of the sea iliniumiza sana kwa sababu lady jung hwa alimpenda sana jang bogo (choi soo jong) kuliko yeom mun (song il kook).angalia jinsi gani daeso alivyokuwa anampenda soseono lakini soseono alihiari aolewe na mfanya kazi wake kuliko kuolewa na prince daeso licha ya kuwa Go jumong alipoteaDramas za Love Triangle nakuwa immersed nazo vibaya hadi nafikia kulia na kuumia mimi badala ya muhusika wa kwenye Drama. (I'm introverted and empathetic by nature)
Haki ya nani zinanipa stress na depression.
Kuna yeyote mwenye ku-relate na hii hali, Wakuu?
hivi ni mwaka gani hii ilitoka maana umesema ss hivi ana 45+ na kipindi kile alikuwa binti tu,ni kweli uyo mwanadada amepelekea mapinduzi makubwa sana kwa wanawake wenziwe nchini korea, madaktari wote wa kike nchini korea wanapaswa wamshukuru sana dae jang geum kwa kuwapigania haki zao.