Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ep ya 2 ilipoisha ilinibidi nianze tena ep 1. (Sinaga hiyo tabia ya kurudia episode)![]()
Ingizo Jipya Money Flower..
Izi Episode Mbili Nilizoangalia Hii Drama Nayo Ni Motoo,Daebak!!
Wale Wapenzi Wa Kicheko Kazi Yake Mpya Iyo...Imeanza Vizuri Ata Ratings Zake Ziko Juu....
Bonge Moja La Drama Nimepanda Akili Zake Jinsi Zinavyotumika Umu Ndani Yuko Simple Sana Ila Anayoyafanya Ni Makubwa...Iko Poa Sana...Ep ya 2 ilipoisha ilinibidi nianze tena ep 1. (Sinaga hiyo tabia ya kurudia episode)
Hahahaha. Huo kweli motoo!
Nimependa tabasamu zao.Hawa watu nawaelewa mno Aisee. Hasa huyo jamaa ananifurahisha anavyo kuwa anajiongelesha Sijuhi Human Kitu gan utafikiri yy sio Hahahahahaaaaa. Ila jamaa yuko poa sana yaani anavyo jiongelesha ndio mm nimependa kwake na kule kuvunga yuko serious Kumbe utumbo tu. Kuna yule polisi kila jamaa akiingia chooni anamkuta Hahahahahaaaaa huyo nae ni kituko. Penda sana hili picha Aisee.![]()
Naam wapendwa leo ngoja nitoe la moyoni. Kwa baadhi ya Korea Drama nilizo wahi kuzicheki aisee hii kitu inayoitwa King Gwanggaeto imenishika si mchezo yaani. Goma lina kila kitu yaani kuanzia Furaha, Huzuni, Ucheshi, Mapenzi ya dhati, Usaliti nakadhalika katika hivyo. Ukija sasa katika wahusika ndio pasua kichwa wapendwa aisee yule muhusika mkuu yuko very interested na kitu anayo fanya. Nimemkubali asilimia zote, jamaa ka act kama kweli yaani Dah kuna watu na watu yaani mchizi yuko serious na kile anafanya. Jamaniiiii yule mshikaji nimemuelewa kinoma Yaani Japo kwa Song il Gook atasubili sana. Damushin nipe jina la huyo jamaa angu maana si kwa serious ule katika kazi jamaa kanifunza mengi katika maisha. My dear aminas itafute hiyo ishu maana nakumbuka uliwahi kuniambia hujawahi ichek iko poa sana mtu wangu wa damu. Mwanzo nilikuwa naikubali sana Jumong lakin kwa Ishu hii atanisamehe Song il Gook. Goma likianza Hutaki liishe, hiz Ishu za vijijini ndio nazielewa aisee Damushin fanya kunipa link ya Queen Sedok......... (Sijuhi ata inaitwaje) aminas ndio anajua na ile ya Dae Jo Young hiz Ishu ndio nazitaka now. Thanks kwa kusoma.
EMPTY dongsaeng hii because this is my first life drama ni balaaa, jamaa ni full mahesabu mpaka kufunga ndoa analazimishwa. hahahaaaa nimecheka bwana harusi na bibi harusi wanapanda mwendokasi na ndoa wanafunga ya mkataba.Umefika ep ya ngapi, Mkuu?
Kuna na hii moja ya love story inaitwa Because This is My First Life, umeiona?
https://ondramanice.io/drama/queen-seon-duk-detailMwanzo nilikuwa naikubali sana Jumong lakin kwa Ishu hii atanisamehe Song il Gook. Goma likianza Hutaki liishe, hiz Ishu za vijijini ndio nazielewa aisee Damushin fanya kunipa link ya Queen Sedok......... (Sijuhi ata inaitwaje) aminas ndio anajua na ile ya Dae Jo Young hiz Ishu ndio nazitaka now. Thanks kwa kusoma.