Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

7_(2).JPG

Hii Scene Imeniliza....Awa Madirector wa Korea Wanawapaga Nini Awa Watoto Mbona Wananyooka Ivi Lol!
 
10_(2).JPG

Matukio yanayoendelea Duniani Yanamfanya Mpka Black Mwenyewe Ashangaee...

Hii Ni Drama Ya Mwaka Japo Rating Yake Airidhishi..Kati ya Drama Bora Kabisaaa...
 
Black: Korea Drama ninayo anza kuikubali mdogo mdogo. Muhusika mkuu yule wa kiume ni noma aisee kwel kuna watu wanavipaji, anavunga hamjui kabisa yule demu aka aminas. Kinacho nishangaza yule black anakuwa anakumbuka baadhi ya matukio ya yule aliye kufa.
 
Umefika ep ya ngapi, Mkuu?

Kuna na hii moja ya love story inaitwa Because This is My First Life, umeiona?
 
Jamani.

Nipo mkoa wa mwanza na nahitaji korean series za legendary.

Kwa mwenye series kama hizo na yupo Mwanza naomba tuonane PM.

NB: Sio bure, ntanunua.
 
Black Jamani Ni Dunia Engine Mpaka Hapa Ilipofikia Naweza Sema Ndo drama yangu Bora kwa Huu Mwaka Ikafatiwa Na Rebel Who Stole the People, Ikija na King Loves....

Damushin kuuna Mahala niliona unaandika utofauti wa Joon Oppa na Mo Gang Sikuelewa Maana Yake Ila Hii Episode Ya 10 Imenifanya Nianze Pata Picha kidogo...
Hii Drama Banah Dooohh!!!! Inakupeleka Mbele Na Kukurudisha Nyuma ..
Director Apa kafanya Kazi
 
The King Loves ni ya kiboya. Sikuona cha maana chochote walichofanya..

Mi niliposoma plot yake nilitarajia mengi lakini wapi. Aaaraaagh!
 
Back
Top Bottom