UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Hivi huyu ndiyo aliyecheza Hello monster??![]()
BO GUM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu ndiyo aliyecheza Hello monster??![]()
BO GUM
link tafadhaliNaam wapendwa leo ngoja nitoe la moyoni. Kwa baadhi ya Korea Drama nilizo wahi kuzicheki aisee hii kitu inayoitwa King Gwanggaeto imenishika si mchezo yaani. Goma lina kila kitu yaani kuanzia Furaha, Huzuni, Ucheshi, Mapenzi ya dhati, Usaliti nakadhalika katika hivyo. Ukija sasa katika wahusika ndio pasua kichwa wapendwa aisee yule muhusika mkuu yuko very interested na kitu anayo fanya. Nimemkubali asilimia zote, jamaa ka act kama kweli yaani Dah kuna watu na watu yaani mchizi yuko serious na kile anafanya. Jamaniiiii yule mshikaji nimemuelewa kinoma Yaani Japo kwa Song il Gook atasubili sana. Damushin nipe jina la huyo jamaa angu maana si kwa serious ule katika kazi jamaa kanifunza mengi katika maisha. My dear aminas itafute hiyo ishu maana nakumbuka uliwahi kuniambia hujawahi ichek iko poa sana mtu wangu wa damu. Mwanzo nilikuwa naikubali sana Jumong lakin kwa Ishu hii atanisamehe Song il Gook. Goma likianza Hutaki liishe, hiz Ishu za vijijini ndio nazielewa aisee Damushin fanya kunipa link ya Queen Sedok......... (Sijuhi ata inaitwaje) aminas ndio anajua na ile ya Dae Jo Young hiz Ishu ndio nazitaka now. Thanks kwa kusoma.
Happy birthday to her jamanii,.baada ya legend of the blue sea ametoka na ipi nyingine!?heri ya kuzaliwa iwe kwako mwanadada jeon ji hyun kwa kutimiza miaka 36 siku ya jana. mmoja kati ya waigizaji wanaotengeneza fedha nyingi sana kupitia sanaa ya uigizaji na mikataba ya kibiashara.
![]()
![]()
If tomorrow comes,house maidHuyu alicheza km mtt wa kishua
Kang yi Kyung alicheza ipi ingne ukiacha glass mask
Mkuu link Yann?link tafadhali
Mkuu hiyo picha ya juu ni movie inaitwaje... Namuelewa sana huyo mtu.![]()
444
![]()
007 And 416
king gwaggaeto ulotaja hapo juu.Mkuu link Yann?
Ingia Dramanice.com ama Dramafire.com then search King Gwanggaeto. In Shaa Allah utaipata mkuu.king gwaggaeto ulotaja hapo juu.
Ni Drama Inaitwa BLACKMkuu hiyo picha ya juu ni movie inaitwaje... Namuelewa sana huyo mtu.
Owkey, huyo si ndo yule dogo alocheza Heartless City.Ni Drama Inaitwa BLACK
R.I.P Jamaa nilikuwa napenda kumwita MUSANG au KIM JUN kutokana na series ya GOD OF WAR or MILLITARY OFFICIAL![]()
Watu wapo na majonzi
Pia kwenye Dr.heo junR.I.P Jamaa nilikuwa napenda kumwita MUSANG au KIM JUN kutokana na series ya GOD OF WAR or MILLITARY OFFICIAL
My love from the StarHappy birthday to her jamanii,.baada ya legend of the blue sea ametoka na ipi nyingine!?
www.filmywap.com au pia sojuoppa.netHii Iko Nje Ya Korea....Nilikuwa Nahitaji Site Ya Movie Za Kihindi, Kuna Hiii Movie Ya Ae Dil Hai Mushkil Ya Ranbir Kapoor Ninaitafuta Kweli Nimejaribu Angalia YOUTUBE ILA NAKO MIZINGUO..
Hii episode ya 7 nini?
Yah ya 7Hii episode ya 7 nini?