Makacha Fikirini
Senior Member
- May 16, 2017
- 122
- 43
Teh! Nilidhani ndio utaacha kuangalia KDrama baada ya hapo. Kumbe utakuwa unamalizia viporo sio? Hahhahaaha.Nitaendelea kuwepo nitakuwa naangalia nilizonazo kwa laptop
[emoji23] namaanisha sitaangalia mpya. Nitamalizia hii inayoendelea na zile nilizonazo mkononiTeh! Nilidhani ndio utaacha kuangalia KDrama baada ya hapo. Kumbe utakuwa unamalizia viporo sio? Hahhahaaha.
umesahau kukaza na ubongoYaah Kweli Kabisaa, Muda Mwengine Sub Huwa Inazingua Sana Tena Asa Sub Ya MyAsian..
Nami Nitaanza Kaza Masikio Kama Ninavyokazaga Mcho.
dongsaeng mbona hollywood nawafahamu baadhi ya waigizaji wao lakini wale wa zamani wa vibanda vya kuangalia movie kama van damme, dolph, rambo, steven seagal, arnold schwarzenegger.Si unaona hadi Damushin sunbae hajui chochote kuhusu Hollywood ila kwenye KDrama & K-Pop anatisha! Sio bure. Hahhahaaha.
hapana dongsaeng sijakimbia na huwa napita nikiwa nime log out account yangu.yaani zaidi ya mara mbili najiamulia kutokupita tena kwenye thread hii lakini nashindwa. kiukweli siwezi tena kuishi bila ya jamii forums na imeshaniathiri.Ukimaliza kuangalia Black utaendelea kuwepo jukwaani?
Naona nawe wataka timua kama Damushin sunbae. Wiki hadi wiki ndio huwa anatia mguu humo.
daebak noona ndio maana mimi izo nchi nyengine wala sina habari nazo kabisa na nikiwaona watu wanaangalia nahisi kama wanapoteza muda.Mimi ndio maana nimeamua kukaa kimya tu maana watu mitazamo tunatofautiana. Ninachoweza kusema ni kwamba wakorea wapo unique sana kwenye uigizaji wao aisee. Haijalishi stori ila Kdrama zina ladha fulani ambayo huwezi kuipata popote
ni majukumu ya kimaisha tu ndio yanayopelekea mtu kuwa bize sana ila mimi na wenzangu tunaisubiri iyo siku utakayopata muda wa kuandika kuhusiana na korean entertainment naamini tutajifunza mengi sana kutoka kwako.My favorie actor/actress: wapo wengi mno
My favorite drama: jumong
My favorite ost: zipo nyingi mno
My favorite variety show was:SBS ROOMATES 1&2 and Running man
If i write everythin it ll take me foreva. Gu9t guyz
Ivi hii drama Kwa Nini Sikuitazama Etiii!??? Kila nakosoma Watu Wanaisifia Sana...Because This Is My First Life
EMPTY dongsaeng hii drama ilikuwa ni burudani mwanzo hadi mwisho yaani ilifika wakati natamani episode ziongezeke kutoka 16 hadi 100.
couple zote zilikuwa full burudani lakini kwangu mimi Ma sang goo na soo ji walikuwa na kitu chengine cha ziada ukilinganisha na couple nyengine.hahahaaaa ma sang goo anastahili offer nyingi zaidi za kuigiza.
ila na wewe ho ra ng kila wakati unawaza ndoa kuolewa tu maisha yenyewe ndio haya ya mzee wa chato.
wenzetu hawabanii watu wenye vipaji kama unaweza basi offer zitakuja wenyewe, kim min gyu amepata offer ya kuigiza kwenye drama ya Just Between Lovers, bwana mdogo tayari ameshakuwa maarufu nchini korea na muda si mrefu naamini atakuwa muigizaji mkuu wa drama.
huyu ahjumma kim sun young ni shidaaa yaani nafasi yoyote utakayomueka yeye anafanya vizuri,kiukweli uwezo wake wa kuigiza ni mkubwa sana ukilinganisha na waigizaji wengine.
wakorea waachwe kama walivyo na wasifananishwe na wapuuzi wengine kwenye kuandika stori za kuvutia.
full stop.
Uko Na Uchokozi Wewe...umesahau kukaza na ubongo
Ni Mmojawapo Ninae Penda Ichi Anachofanya Pil Joo, Ndomana Ata kuwakutanisha Alitumia Njia ya Kumfanya Mo Hyun Ni Kujikuta Anampenda Boo Cheon Kwa Njia Yeyote
kitendo anachokifanya kang pil joo kwa mwanadada na mo hyun kinapaswa kulaaniwa na wanawake wote ila sijui kwa sababu gani baadhi ya wanawake wanafurahia.ni kweli unapotaka kufanikisha jambo lako uwe tayari kupoteza vitu muhimu lakini kang pil joo amepitiliza kwa sababu na mo hyun alikuwa ni mpenzi wake wa zamani na anafahamu vizuri sana ya kwamba mwanadada bado anampenda japo hamfahamu kama ndio yeye.atakapo gundua ya kwamba anatumiwa na wanaume wote wawili kwa ajili ya kufanikisha mipango yao sijui atajisikiaje, inaumiza sana.
fighting noona
Hapo Mwishoni Ni La Moyoni Siyo!???Because This Is My First Life
EMPTY dongsaeng hii drama ilikuwa ni burudani mwanzo hadi mwisho yaani ilifika wakati natamani episode ziongezeke kutoka 16 hadi 100.
couple zote zilikuwa full burudani lakini kwangu mimi Ma sang goo na soo ji walikuwa na kitu chengine cha ziada ukilinganisha na couple nyengine.hahahaaaa ma sang goo anastahili offer nyingi zaidi za kuigiza.
ila na wewe ho ra ng kila wakati unawaza ndoa kuolewa tu maisha yenyewe ndio haya ya mzee wa chato.
wenzetu hawabanii watu wenye vipaji kama unaweza basi offer zitakuja wenyewe, kim min gyu amepata offer ya kuigiza kwenye drama ya Just Between Lovers, bwana mdogo tayari ameshakuwa maarufu nchini korea na muda si mrefu naamini atakuwa muigizaji mkuu wa drama.
huyu ahjumma kim sun young ni shidaaa yaani nafasi yoyote utakayomueka yeye anafanya vizuri,kiukweli uwezo wake wa kuigiza ni mkubwa sana ukilinganisha na waigizaji wengine.
wakorea waachwe kama walivyo na wasifananishwe na wapuuzi wengine kwenye kuandika stori za kuvutia.
full stop.
Tupo Tayari, Anikumbusha kwenye Doctor Na Yule Binti...wale wapenzi wa kim rae won kuanzia tarehe 6/12/2017 ingizo jipya baada ya kumaliza mad dog kupitia KBS 2 inaitwa Black knight