Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
Si kazi ndogo kuanza ku review page ya 73 to 224 tena kwa umakini wa hali ya juu kusoma kila neno tatizo huo muda na inachosha mkuu ndo maana nikaomba anayefahamu ni vizuri angenitajia maana hazitozidi hata dk 3 katika kunitajia kwa mtu ambaye ni mzoefu.anyway thanks!Mkuu,
Anza kwa kupekua posts za nyuma maana tushajadili sana.
Unaweza kuanzia hapo link ya chini.
Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako! - Page 73
aigooooo pesa zangu nilizihifadhi bandari ya dar, sasa bahati mbaya huyu mwenye nchi ameziona na nikimpigia simu hapokei.Hahhhahhhhahhhhaaaaaaaa!
Sunbae, Damushin
Nilikuwa najikumbusha posts za nyuma nikakutana na hii basi nimechekaje!
Halafu hizo pesa bado unazo au ndio ushakunywa urojo? Hahhahahahaaa!
Jinja? Daebak!aigooooo pesa zangu nilizihifadhi bandari ya dar, sasa bahati mbaya huyu mwenye nchi ameziona na nikimpigia simu hapokei.
kiukweli nipo frustrated
ye dongsaengJinja? Daebak!
BAABA,MKUUBWA ILE KITU JUMONG NI SHHIDA.Nini kinakufanya useme wakorea wambea wakat wapo so talented katka ku catch feelings na kwa style yao ya uigizaji....Mzungu haeki mkono....Nakushauri tafuta Jumong tu....utaelewa zaid.....
you are welcome = cheonman-eyoNmefurah sana kuona Uzi huu duuh
Noona[emoji3]you are welcome = cheonman-eyo
sijui nikuite noona, ahjumma, ahjussi, dongsaeng ,hyung.
hahaaaaa kwa sababu sijui jinsia yako.
(natania)
Hahahahhahahah,Rae won ni bae kabisaaaaminas huyu kim rae won uzungumzaji wake wa taratibu unaweza ukaenda kisimani kuchota maji na ukarudi bado hajamaliza kuzungumza.
black knight drama nayo inanifanya nitamani siku za wiki zipungue ziwe angalau 3.hivi hawa bongo movies wanashindwa kuja hata huku zanzibar kwa ajili ya kuomba film location kwenye mahoteli.kama wanaweza kupeana zawadi ya gari za millioni 50 kwa ajili ya birthday wanashindwa kuwekeza kwenye kazi zao zinazowafanya wanunue gari za gharama.
jana nimeota nipo slovenia nakunywa chai na shin se kyung hahahaaaaaa ndio maana huwa sipendi mtu aniulize una ndoto gani kwenye maisha yako, kwa sababu ndoto inakuja na kuondoka lakini malengo hayaondoki.
kabla ya kuangalia black knight nilikuwa naangalia bride of the water god lakini nilipofika episode ya 5 niliamua kuifuta yote kwenye computer yangu, kiukweli haikunivutia kabisa hususan uhusika wa shin se kyung.
Uyu Mzee napenda tuh Ukorofi wake na kupenda Zake Ela...Uyu Bibi ndo kabisaaa..EMPTY dongsaeng, aminas noona
hawa watu wawili nikiwaona najisikia raha sana na hunifanya nisahau dhiki zote zinazoniandama katika maisha yangu ya kila siku.
imefika wakati natamani wiki iwe na siku moja tu nayo ni jumamosi ili nipate kuona performance ya hali ya juu kutoka kwa waigizaji wanaofahamu kazi yao.
si mshabiki mkubwa sana wa Jang hyuk ila namuombea ashinde tunzo ya daesang mwaka huu.
nimefurahi sana kiupande fulani baada ya kugundua ya kwamba jang bo cheon ni mtoto wa nje ya ndoa hivyo basi hastahiki kurithi mali za Cheong A.
Hahahaaaaa huku kwetu waigizaji wazee wenye viwango ni wa kuhesabu.