mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Zamani sana nimecheki hii,tokea mwaka 2013.Tafuta Dae joyoung ni nzuri saana utaunguza hata mboga
Ngoja nitaitafuta hii,ikiwa mbaya jiandae maana lawaza utazibeba.Ukiiona gwangaeto utamsahau ll guk sung!
Ahahahaaaa, ikiwa mbaya nipo tayari kubeba lawama, hakika utenjoy hiyo kitu aisee!Ngoja nitaitafuta hii,ikiwa mbaya jiandae maana lawaza utazibeba.
Tell Her.Ngoja nitaitafuta hii,ikiwa mbaya jiandae maana lawaza utazibeba.
Aisee, kati ya zote nilizoziona, slave hunter ni fupi sana!Namm Nishakua Addicted Siku Hizi Nikiona Haina Episode Zaidi Ya 50 Naiangalia Basi Tu.
EMPEROR WANG GUN Ndio Ndefu Na Nimemaliza Wiki Iliyopita Baada Ya Kupumzika Nilipofika Episode 100.
Ina Episode 200 Kamili.
Nikiona Fupi Tu Mood Ya Kuangalia Inapotea Kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Aisee, kati ya zote nilizoziona, slave hunter ni fupi sana!
Duuuuuh hapana,hiyo ni too much sasa.Namm Nishakua Addicted Siku Hizi Nikiona Haina Episode Zaidi Ya 50 Naiangalia Basi Tu.
EMPEROR WANG GUN Ndio Ndefu Na Nimemaliza Wiki Iliyopita Baada Ya Kupumzika Nilipofika Episode 100.
Ina Episode 200 Kamili.
Haya niambie ina episodes ngapi?Ahahahaaaa, ikiwa mbaya nipo tayari kubeba lawama, hakika utenjoy hiyo kitu aisee!
Hapana,napenda actions pia.Tell Her.
For Me Its The Best.
Koz Napenda Action.
Ila Yeye Ni Mwanamke Anaweza Akawa Anataka Romance.
Gwangaeto Mapenzi Aliyaweka Nyuma Sanaaaa.
Jumong Wengi Wanaona Ni Nzuri Koz Wengi Tulianza Kuiona Hiyo.
Ila Hakukua Na Strategies Za Kufa Mtu Kama Dae Jo Young Au Gwangaeto Au Wang Gun.
So kwa sasa unaweza fencing?Hapana,napenda actions pia.
Hii imenipelekea nitamani kujifunza kutumia sword na mimi.
Duuuuuh hapana,hiyo ni too much sasa.
Bwana hebu nichagulieni nyingine fupifupi!!!Hahahahahaha Mumy ndo Mapenzi Sasa Nitafanyaje?Hiyo Gwangaeto Ina Episode Sijui 92. So Ujiandae.
Kuna "action drama series-The Three Musketeers" ya 2014 inasisimua ndani ya hadithi yake
Hapana,napenda actions pia.
Hii imenipelekea nitamani kujifunza kutumia sword na mimi.
Hapo na mimi nakubali, ila wale mtu na mama yake ktk warrior baek dong soo ni hatari kinomaa! Namkumbuka pia cheon na sword saint( kumwa)!Hahahahaha Unapenda Eeeh.
Hawa Ni Baadhi Ya Wanawake Ambao Wameonyesha Exceptional Swordsmanship Skills Katika Korean Historical Dramas;
Angalia Gwangaeto Kuna Mtoto Wa Kike Anaitwa SEOL JI princess wa MOHE MALGAL(Kama Uliangalia KINGDOM OF WIND/MUHYUL Huyu Ndo Aliigiza Kama Mchumba Wa Prince Muhyul Na Atakayemuoa Bila Riidhaa YAke Wala Kumpenda Pia Kama Uliangalia KIM SOO ROO Huyu Ndo Ataigiza Kama Princess Kutoka India Ila Kwenye Gwangaeto Anapiga Noma).Pia YAKYEON Atakayekuja Kuwa Mke Wa Gwangaeto Naye Alikua General Anapiga kama Hana Kili Nzuri.
Afu Kuna Mtoto Mwingine Wa Kike Anaitwa GEUMRAN Kwenye DAE JO YOUNG Bila Kumsahau LADY CHULIN Wako Fiti.
Afu Kuna DAEJU Kwenye EMPEROR WANG GUN.
Bila Kuwasahau Mtu Na Mama Yake JIN JOO Na Mama Yake GA OK Kwenye WARRIOR BAEK DONG SOO.
So Jitaidi Ufikie Hata Level Ya DAEJU Tu LoL.
Mzee ulishawahi kuishi Korea nini maana haya majina unavyotaja utadhani mkorea halisi.Hahahahaha Unapenda Eeeh.