Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,898
- 5,020
Thanks, unatumia download manager ipi?Ingia website moja inaitwa myasiantv.se humu episode hazikatwi vipandevipande ni full na wanatafsiri fresh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks, unatumia download manager ipi?Ingia website moja inaitwa myasiantv.se humu episode hazikatwi vipandevipande ni full na wanatafsiri fresh.
natumia IDM ambayo ipo cracked. ipakue hapaThanks, unatumia download manager ipi?
Gu family book jamani ni habari nyingine... ile series nmeipenda sana... hasa kile kidada cha kangto kizur sana,,, yaani alkua akiomeshwa tu mie moyo unadunda dunda
hi members,ni mara yangu ya kwanza kupost ndani ya jamiiforums nimekuwa msomaji na mfuatiliaji mkubwa wa hii thread.kiukweli mimi ni fans mkubwa sana wa korean dramas pamoja na korean music(Kpop) na korean ost.Na ni mpenzi mkubwa sana wa sageuk drama (historical drama). muigizaji ninayempenda ni SONG IL KOOK (il gook,il guk) maarufu Jumong ambaye amezaliwa 1971.kiukweli jamaa anastahili kuwa king of historical drama kama anavyoitwa kwao korea.
katika kufuatilia kwangu hizi comment nimegundua kuna watu kumbe ni waathirika wakubwa wa hizi tamthilia zaidi yangu.Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa drama zinazozungumzia taifa la Three legged raven (Goguryeo) lililoanzishwa na mfalme Dongmyengcheon Jumong,kiukweli taifa hili ndio msingi wa Korea Peninsula na limetoa mashujaa wengi sana kuliko taifa kama Baekje, na Shilla. Fikiria mashujaa kama king damushin muhyool,king damdeok(gwaggaeto) king iron,dae jo young,yeon gaesomun,uchil muduk,yan man chun,dae jung sang(dae joyoung father) oyi,mari,hyeop bo,yeon salta,sul ji,general komu,sagal yeon, gulsabiwu,geumlan kutoka baekje,mapa chubalso n.k
Hapo sijaziona dance in the sky,you are all surrounded na healerHizi series nmetoka kumaliza kuzichek wiki sasa, nazikubali sanaaaaaaaa..
Gu family book(hii series ni noumaaa)
Dance in the sky
Bad guys
You'are all surrounded
Healer
Two weeks
Mkuu Huwezi Kuongelea The Might Kingdom of GOGURYEO Bila Kuniconsult Mimi Balozi Wa Goguryeo JamiiFORUMS Nikiitwa MO JO SAN Au Kiswagg Zaidi Sema SAN MOJO Toka Hapo Pyeongyang.
BTW Prince Muhyool Ndie Atakayekuja Kuwa King Daemushin, Pia Hao Unaosema Ni Mashujaa You Need To Note That Some Characters Kama Sagal Hyeon, Geumlan, Chubalso, Seol Ji, Seol Doan, Kina Dol Bisu Na Characters Wengineo Wengi Ambao Ukiangalia Hizi Drama Wanaonekana Kama Wamefanya A Very Big Service To The King or To A Kingdom Hawa Huongezewa Na Producers For Dramatic Purposes And Hawapo Depicted Kabisa Katika History.
Pia Hao Ambao Wapo Kama Kina Dae Jo Young, Jumong,Dae Jung Sang Na Wengine Wengi Kuna Baadhi Ya Twisting Na Adjustments Zimefanywa Ili Kuvutia Audience Au Kuleta Logic Na Kufanya Drama Iendelee.
Nitakupa Mfano GEOL SA BIWU Katika Historia Ni Mtu Wa Umri Sawa DAE JUNG SANG Na Si DAE JO YOUNG Pia Kihistoria DAE JUNG SANG Atakufa Baada Ya BIWU Lakini Katika Drama Anakufa Kabla Yake.
Ushauri Wangu Kwa Wale Wote Wapenda Historical Korean Dramas Pamoja Na Kuangalia Hizi Pia Mngekua Mnasoma The Real History behind The Drama, Kwa Sababu Waweza Kuangalia Drama Ukadhania Ilitokea Hivi Lakini Kumbe Producers Waliadjust Au Walimodify Na Kubadiisha Maana Kabisa. Mfano Mzuri Angalia Drama Mbili Zinazohusus SILLA Na Queen Seodeok Na Kim Chunchu(King Muyeol) Katika Drama Ya Queen Seondeok Chunchu Anaonekana Kama Ni Mtoto Wa Princess Cheonmyeongam, Ambaye Ni Dada Yake Na Queen Seondeok Lakini Katika Drama Ya The Great King's Dream, Chunchu Is Totally A Different Person, Pia Katika Hizo Drama Mbili Wanamunyesha BIDAM(The Greatest Rebel In Korean History) Kwa Namna Tofauti Moja Inamuonyesha Kama Mtoto Wa Lady Mishil Na Atauwawa Chini Ya Utawala Wa Queen Seondeok Wakati Nyingine Inamuonyesha Kama Ni General Aliyekuwa Anagovern A Fort Na Atakuja Kufa Chini Ya Utawala Wa Queen Jindeok, Wakati Kihistoria Alikuwa Executed Under Amri Ya Queen Jindeok.
Hii Pia Imekuwa Ni Source Ya Malumbano Baina Ya Wanahistoria Wa Korea Dhidi Ya Wanahistoria Wa China Na Japan Kwa Kua Kila Mmoja Ana Claim Historia Kivyake KWa Mfano Kuna Debate Kuhusu Goguryeo Wachina Wanasema Ilikua Ni Taifa La Watu Kutoka China Ambao Walienda Na Kuishi Mashariki Mwa Peninsula Kitu Ambacho Kinawakasirisha Sana Wakorea.
So Kama mtu Unapenda Kusoma Tafuta Vitabu Vinaitwa The Chronicles Of the Three Kingdoms Au SAMGUK YUKSA Na SAMGUK SAGI, Pia Tafuta CHRONICLES OF KORYO,CHRONICLES OF BALHAE Na Vitabu Vilivyoandikwa Kipindi Cha Ufalme Wa JOSEON. Vitabu Hivyo Vimewaelezea Hao Historical Figures Na Kuelezea Historical Events kama Hizo Battles Like Battle of Ansiseong, Battle of Gwanmiseong, Battle of Hwangsanbeol Pia Na Vita Zote Zimeelezewa Humo Like Goguryeo-Sui War, Baekje-Silla War, Silla-Tang War, Goguryeo-Tang War Etc Na Alishinda Nani Na Alitumia Mbinu Gani. So Kama Ukiangalia Hata Hizi Drama Utakuta WanaRefer Kwenye Hivi Vitabu, Kuna Yule Narrator Anasema "According To The Samguk Sagi Au To Samguk Yuksa Au To The Chronicles of Koryo....." Au Utamsikia Anasema "The History Depicts This Event/Battle Like This ...."
So Hata Ukija Kuangalia Hizi Drama Unaenjoy As You See teh History you Know Being Depicted Before Your Eyes By The Actors
KUDOS!
Too Bad Mimi Nikiangaliaga Nkimaliza Nazifuta Aisee PC Ina Memory NdogoMkuu kama una series ya Jumong na series nyingine Kali za kikorea naomba niazime mkuu. Hii na kwa wapenda Korean movie/series wote, msaada. Me nipo Dar popote pale nitazifuata.
Vipi Director of highschool na gardenister ni nzuri?Too Bad Mimi Nikiangaliaga Nkimaliza Nazifuta Aisee PC Ina Memory Ndogo
iyo tree with deep root ni bonge moja la series ila ukitaka uifaidi vizuri fuatilia hii inayoruka hewani sasa hivi SIX FLYING DRAGONS utaona jinsi matukio yanavyoendana... alaf uone ule ujana wa Lee Bang Ji (best swordman in Joseon) alivyokua kijana shughuli yake ilikuaje...Series ya tree with deep roots ipo powa sana amecheza yule jamaa wa kwenye iris2. Japo ni ya 2011
kuna series mpya inaruka hewani asa hivi inaitwa "the great scientist of joseon dynast" ni mpya ameigiza kama mwanasayansi.... sema mm inaniuma sana sabab amenyimwa martial arts skills.... naicheki sema sijamzoea song il guk akiigiza role hii aliyopewa asa hiv!!Wakuu mwenye Korean series Jumong na nyingine alizocheza il guk, hapa Dar naazima.
Huyu Song il guk (Chumong) huku tumemzowea tu, kutokana tulivyo mfahamu ktk Jumong. Lakini katika Korean actors hana nafasi sana. Actors maarufu ktk martial srts ni huyu jamaa.kuna series mpya inaruka hewani asa hivi inaitwa "the great scientist of joseon dynast" ni mpya ameigiza kama mwanasayansi.... sema mm inaniuma sana sabab amenyimwa martial arts skills.... naicheki sema sijamzoea song il guk akiigiza role hii aliyopewa asa hiv!!
Wewe Sasa Ndo Mtu Unayejua Vizuri Korean Sageuk Dramas.Huyu Song il guk (Chumong) huku tumemzowea tu, kutokana tulivyo mfahamu ktk Jumong. Lakini katika Korean actors hana nafasi sana. Actors maarufu ktk martial srts ni huyu jamaa.
Choi Soo Jong
![]()
![]()
![]()
Mkuu huyo jamaa Nouma sana. Muangalie tena kwenye Hii ya Battle inaitwaWewe Sasa Ndo Mtu Unayejua Vizuri Korean Sageuk Dramas.
Naona Wamekomalia Jumong(Song Il Gook)
Choi So Joong Ndie Mbabe Wao Na Ndie Aliezimaster Vizuri Sana Hizi Za Martial Arts Na Swordmanship.
Big Up We Are On The Same Boat.
Nilivyomuona Kwenye Emperor Of The Sea Sikumuappreciate Koz Ndo Ivyo Tulikua Bado Tumemzoea Song Il Gook Ia Baada Ya Kumuona Kwenye Dae Jo Young,The Great King's Dream Na Emperor Wang Guhn Ndo Nikajua Huyu Jamaa Was Born For This Shit.
What I Like About Him Is That He Is Very Serious And Determines As Real King Should Be.
Wakuu mwenye Korean series Jumong na nyingine alizocheza il guk, hapa Dar naazima.