DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
hii drama niliiangalia kwa siku 11 ndio nikaimaliza kiukweli jamaa ni hodari licha ya umri kumtupa mkono.wakati anashuti drama hii 2006 ana miaka 45. ila yule LI KAIGU wa Khitan ambaye baadae alikimbilia Tang Dynasty alimsumbua mnoo. hata lile pambamo lao lilikuwa la kuvutia katika episode ya 132Huyu Song il guk (Chumong) huku tumemzowea tu, kutokana tulivyo mfahamu ktk Jumong. Lakini katika Korean actors hana nafasi sana. Actors maarufu ktk martial srts ni huyu jamaa.
Choi Soo Jong
![]()
![]()
![]()