Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Huyu jamaa wa kuitwa juan moses ni hatari sana aisee mana unavyochambua hizo history ka mkorea OG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Stori Bro Hizo Ndio Maana Zinaitwa Historical Drama Ni Vitu Vilivyotokea Na Watu Waliokuwepo Kipindi Hicho. Sawa Na Movie Ya TITANICHivi hizo nations kama shilla gorguryo na manini sijui ni kwel kwamba yalikuwepo zamani na si story tu za series ka nijuavyo
Ddol bok ndiye alikuwa nomaaa, bila kumsahau captain of royal guadrs muhyool jamaa hajawahi kupigwa, ila kuna Siku ile last episode lile dubwana aliyenyoa kiduku alifunika wote wakafa! Deep roots ni nomaaa!iyo tree with deep root ni bonge moja la series ila ukitaka uifaidi vizuri fuatilia hii inayoruka hewani sasa hivi SIX FLYING DRAGONS utaona jinsi matukio yanavyoendana... alaf uone ule ujana wa Lee Bang Ji (best swordman in Joseon) alivyokua kijana shughuli yake ilikuaje...
Jamaa Si ndiye kinara king gwangaeto?Wewe Sasa Ndo Mtu Unayejua Vizuri Korean Sageuk Dramas.
Naona Wamekomalia Jumong(Song Il Gook)
Choi So Joong Ndie Mbabe Wao Na Ndie Aliezimaster Vizuri Sana Hizi Za Martial Arts Na Swordmanship.
Big Up We Are On The Same Boat.
Nilivyomuona Kwenye Emperor Of The Sea Sikumuappreciate Koz Ndo Ivyo Tulikua Bado Tumemzoea Song Il Gook Ia Baada Ya Kumuona Kwenye Dae Jo Young,The Great King's Dream Na Emperor Wang Guhn Ndo Nikajua Huyu Jamaa Was Born For This Shit.
What I Like About Him Is That He Is Very Serious And Determines As Real King Should Be.
Hapana Kwenye Gwangaeto Sijamuona.Jamaa Si ndiye kinara king gwangaeto?
Emperor of the sea kacheza kama nani?Hapana Kwenye Gwangaeto Sijamuona.
Angalia Dae Jo Young,Emperor Of The Sea,Great Kings Dream,Emperor Wang Guhn Etc.
A man called a god...hiyo n hatar sanaKama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
Nimemsoma, ktk emperor of the sea alicheza as jang bogo! Jamaa ki ukweli anaweza kuliko jumong!Huyu Song il guk (Chumong) huku tumemzowea tu, kutokana tulivyo mfahamu ktk Jumong. Lakini katika Korean actors hana nafasi sana. Actors maarufu ktk martial srts ni huyu jamaa.
Choi Soo Jong
![]()
![]()
![]()
Nimemsoma, ktk emperor of the sea alicheza as jang bogo! Jamaa ki ukweli anaweza kuliko jumong!
Pia kwa hisia jamaa ni anga nyingine hiyo!
Be strong geumson! Nimeikubali ambae hajaiona na aitafute hatajuta.A man called a god...hiyo n hatar sana
Huyu nae Yuko vzr ila si wakumlinganisha na Choi Soo jong.Na huyu je, mnamkubali?
Hata ktk slave hunter na deep roots! Amekamua vizuri sana!Huyu nae Yuko vzr ila si wakumlinganisha na Choi Soo jong.
Huyo jamaa kacheza vzri kwenye IRIS.
Katika slave hunter sikufurahia uchezaji wake.Hata ktk slave hunter na deep roots! Amekamua vizuri sana!
Kwanini mkuu?Katika slave hunter sikufurahia uchezaji wake.
Aisee, kati ya zote nilizoziona, slave hunter ni fupi sana!