Ommy Dimpoz
Senior Member
- Dec 6, 2016
- 111
- 93
Ila jamaa series zake nyingine sizipati mbali na hii na Moon embracing the sunHapa ndio huwa nacheka aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah namkumbuka yule mzee[emoji3]Yule Dereva wa Train yupo kwenye BLACK aisee mle kacheza balaa. Huwa nacheka sana nikimuona.
Hahaha kumbe n wew umeliona hilo duuhHuyo mzee anayelia sikumbuki kumuona akiigiza hata mjini yeye ni kijijini na nafasi zake ndiyo hizo tu.
Kweli yani huyo mzee ni kijijini tuHahaha kumbe n wew umeliona hilo duuh
Hii Alert Sikuipata Mapema!!! Heee!!!! Najua Kama kufa ni Lazima Ila Unakufaje ndo kinachonifanya Nilie lie Ata wewe Ikikutokea Hii Nitalia Lia Pia.Naona unalia lia sana kuhusu huyu jamaa kufariki kip kigeni hapo. Kifo ni lazima,
Pole Mwaya Pole Sana Chingu Na Mola Akuongoze Siku Zote..Mamy kuna kipind niliwah kupitia matatizo nkawa nanyauka tuu sina w kumwelezea ,nkajipa moyo kumwelezea Dada mmja alikua Rafiki angu though sio kiviile ila alikua MTU wa kanisani sana...maajabu n kuwa alinitangaza!hapo ndo akanizidishia maumivu kabisa ,nliamua kupamban n hali yangu mwenyew kW kufanya ibada n kujitahid kW kila hali had nkazivuka changamoto hizo ...time heals n niliamin,...hua najiambia kama skuweza kufa that time basi stakuja kufa kW msongo w mawazo tena...i am happy and healthy and always I embrace my inner peace.
Circle na reunited world mbona za mjiniHuyo mzee anayelia sikumbuki kumuona akiigiza hata mjini yeye ni kijijini na nafasi zake ndiyo hizo tu.
Endelea Angalia Ni Nzuri Episode one ndo Zinavyokuwa.Hivi hii Scholar who walks the night ni nzuri kweli??
Maana ishanikera episode 1 u vampire
Nzuri japo sio ya sisimua sana imetulia.Hivi hii Scholar who walks the night ni nzuri kweli??
Maana ishanikera episode 1 u vampire
Circle niliishia ep ya 2 au ya 5, hivyo labda hizo ep za mbele ndiyo alikuwepo.Circle na reunited world mbona za mjini
Ameen...nkuiteje?[emoji3]Pole Mwaya Pole Sana Chingu Na Mola Akuongoze Siku Zote..
Mawazo kila mmoja anayo lakini hayo mawazo yasikupelekeshe mpaka kufikia hatua ya kujiua. Mi mwenyewe huwa nawaza pindi itakapo tokea kuwa mbali na mtu fulani, aisee itaniumiza sana ila sito fikia hatua ya kujiua. In Shaa AllahHii Alert Sikuipata Mapema!!! Heee!!!! Najua Kama kufa ni Lazima Ila Unakufaje ndo kinachonifanya Nilie lie Ata wewe Ikikutokea Hii Nitalia Lia Pia.
Usijiskie Vibaya kweli! Kijana Mwenye Umri Mdogo kama Uo Tena Mwenye Kujitafutia Mwenyewe kujilisha yeye na Familia yake unaskia Amejiua Kisa Depression,Mawazo Aloshindwa kuyavumilia Unajua Ni Mangapi Yalokuwa yanamuumiza Mpaka Fikia Hatua ya kujiua Now Unasema Nalia lia Kuwa Na Moyo Basi Kama Binaadamu Lol!! Si Mpka Awe Ndugu yako Au Mtu unayemfahamu Ukiacha Usanii ni Binaadamu na Kijana Mdogo mwangaikaji Kama Wewe..Ndee We
Unataka niambia imeishakabisa maana niliishia ya 15NILIKUWA BIZE KIDOGO SIKUFUATILIA BLACK ILA LEO NIMEIMALIZA IT IS MY BEST DRAMA OF 2017
Kila Mtu ana Njia Yake Yakudeal Na Ivi Vitu.Mawazo kila mmoja anayo lakini hayo mawazo yasikupelekeshe mpaka kufikia hatua ya kujiua. Mi mwenyewe huwa nawaza pindi itakapo tokea kuwa mbali na mtu fulani, aisee itaniumiza sana ila sito fikia hatua ya kujiua. In Shaa Allah
Niite Chingu Pia...
Yah Imeisha Ina Episode 18.Unataka niambia imeishakabisa maana niliishia ya 15
Aya endelea kuumia, Ndee we.!Kila Mtu ana Njia Yake Yakudeal Na Ivi Vitu.
Yeye Labda Alishindwa Kutokana Na Kuzungukwa Na Ayo Yalompa Depression,Labda Njia Rahisi Ilikuwa Ache Muziki Mojo kwa Moja Aache Entertainment Kwa Ujumla Aishi Maisha ya kawaida Na Ni Kitu kilichokuwa Kigumu kwake Pale Unapoamua Kuacha Kila Ulichopigania Ili tuuh Ukae Sawa...
Sababu Amekulia Kwenye Hiyo Industry..
Kuna Sehemu Alisema Kuwa Alikuwa Akijatahidi Kupigana Na Iyo Hali Mpaka Alipofikia Ila Ameona Kashindwa Anahisi Awezi Kuendelea,Akaona Njia Sahihi Kujiua Tuuh.
Mi Imeniuma Sana Yaani,Najiskia Vibaya Mpaka Sasa...Najihisi Napitia Aya, Lakini Namuona Kajizulumu Ajawatendee Haki Mama Na Dada yake,Aliona Ainusuru Nafsi yake Na Maumivu..
It's Hurt,Real Hurts Jamani.