Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
[emoji23][emoji23][emoji23] alafu hakuna ata moja uliyo tizama ama?Mm naijutia tu kunilia mb zangu maana nilidownload episodes zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] alafu hakuna ata moja uliyo tizama ama?Mm naijutia tu kunilia mb zangu maana nilidownload episodes zote
Episode ya 5 imenitoa chozi Japo mi mgumuMoja kati ya Drama ninazo zielewa kwa mda wote [emoji23][emoji23]
Hii hatari inasisimua balaa,yule mzee na yule jamaa jinsi walivyo wabinafsi walikuwa wananifurahisha kweli.Kuna hii Movie ni ya Mwaka 2016. Ni nzur aisee, ila inatisha. TRAIN TO BUSAN![]()
What!??? Aigooooo Mbona Ivyo Sababu yakutoiweka!????2017 KBS Drama Awards Opens Voting For Netizen Popularity Awards
Netizen Award – Male
go kyung pyo (strongest deliveryman)
kwon sang woo (mystery queen)
namgoong min (chief kim)
park seo joon (fight my way)
park hyung sik (hwarang)
e.t.c
Netizen Award – Female
kim ji won (fight my way)
chae soo bin (strongest deliveryman)
lee yoo ri (father is strange)
choi kang hee (mystery queen)
e.t.c
Best Couple Award
Kwon Sang Woo and Choi Kang Hee (Mystery Queen)
Go Kyung Pyo and Chae Soo Bin (Strongest Deliveryman)
e.t.c.
NB
nimeona uvivu kuendelea kuandika kwani nafsi yangu haina furaha ila sina depression, ni aibu kwa kbs drama awards kutokuwepo kwa QUEEN FOR SEVEN DAYS kwenye kipengele chochote.
![]()
Dah! kweli mkuu ila sasa kama kawa.Mkuu ulipotea sana aisee
Mimi niliipenda sana wakati wakiwa watoto,kile kitoto cha kike alikuwa ananifurahisha sana ila walivyokuwa tu nikaishia hapo.Jamani queen for seven dayz ni nzuri ila walikosea sana kwny upande wa character ya king maaana braza MTU nyota Yake iling'aa zaid ya mdogo MTU so as the result wengi hatukuimaliziaga
Hahahahaaaa, chezea Korea. Wale jamaa ni noma katika kazi zao yaani kuna Mahala unatizama mpaka machozi yanatoka ama kulia kabisa. Nakumbuka nilikuwa Naangalia Land of the wind kuna epsd Song il kook alipadwa na hasira. Basi akaondoka kimya kimya kwenda kulipiza kisasi baada ya kushambuliwa, wenzake wakawa wanamkataza. Ikafikia kipindi akamuwekea upanga moja kati ya watu wake basi kuna yule rafiki yake mpedwa Maro akawa anautoa ule upanga shingoni kwa upole sana. Aisee kile kipande kilinitoa machozi na kulia kabisa. Shikamoo wakoreaEpisode ya 5 imenitoa chozi Japo mi mgumu
Haha mkuu umechekesha.Moja kati ya Drama nilizo zipotezea kama sizijuhi.!
Karibu Jamaa anguDah! kweli mkuu ila sasa kama kawa.
Huyo mzee anayelia sikumbuki kumuona akiigiza hata mjini yeye ni kijijini na nafasi zake ndiyo hizo tu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
[emoji24] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32]
Yeon U!!!!!
Yeon U!!!
Mkuu ni kweli kabisa sijaichek ata kidogo ngoja nitaisaka japo niitizame kwa shida shidaHaha mkuu umechekesha.
Alafu walikuja geuka vibaya hadi huruma aiseeHii hatari inasisimua balaa,yule mzee na yule jamaa jinsi walivyo wabinafsi walikuwa wananifurahisha kweli.
Anajichetua tu kama walinzi wa getini kwenye movieHuyo mzee anayelia sikumbuki kumuona akiigiza hata mjini yeye ni kijijini na nafasi zake ndiyo hizo tu.
Wao ndiyo walikuwa wa mwisho kugeuka mazombi,yule dereva wa train kanisikitisha kweli alivyojitolea kumsaidia yule mzee mbinafsi kichizi.Alafu walikuja geuka vibaya hadi huruma aisee
Bonge moja la Drama aiseeSeries nzuri sana
My love from the star
Yule Dereva wa Train yupo kwenye BLACK aisee mle kacheza balaa. Huwa nacheka sana nikimuona.Wao ndiyo walikuwa wa mwisho kugeuka mazombi,yule dereva wa train kanisikitisha kweli alivyojitolea kumsaidia yule mzee mbinafsi kichizi.
Kazi ya Kim Soo HyunBonge moja la Drama aisee
Hapa ndio huwa nacheka aisee [emoji23][emoji23][emoji23]Kazi ya Kim Soo Hyun
Jamaa hazeeki
Marafiki zake wore miaka 400 wanazeeka na kufa yeye habadiliki