romantic doctor
Member
- Dec 20, 2017
- 25
- 24
Imekwisha kabisa detective han mo gang hatari sanaUnataka niambia imeishakabisa maana niliishia ya 15
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekwisha kabisa detective han mo gang hatari sanaUnataka niambia imeishakabisa maana niliishia ya 15
Huyu jamaa alifanya nishindwe kuimalizia ile drama ya I miss you,alikuwa ananiboa.baada ya miezi takribani 18 kupita hatimae leo hii mahakama imemtia hatiani mwanamke wa pili (anafahamika kwa herufi B) ambaye alimfungulia mashitaka muigizaji na muimbaji park yoo chun kwa tuhuma za kumfanyia vitendo vya udhalilishaji, hatimae mahakama imeyakataa madai ya mwanadada huyo kwani ni ya uongo
tokea mwezi june 2016 park alijikuta akiingia matatizoni baada ya wanawake wanne tofauti kumfungulia mashitaka ya unyanyasaji wa kijinsia (sexual assault) lakini mashitaka yote hayo amekutikana bila ya hatia.
october 26 mwanamke wa kwanza ( miss A) aliyemfungulia mashtaka muigizaji huyo pamoja na mchumba wake mr lee na mjomba wake mr hwang mahakama iliwahukumu kutumikia gerezani ambapo mwanadada alihukumiwa kifungo cha miezi 20, boyfriend wake alihukumiwa kifungo cha miezi 18 na mjomba wake miezi 24.
![]()
Kwa kutumia simu?Nimeshindwa the way ya kudownload kdrama
Then Kazi nzuri kama izi alizokuwa anafanya Anajititoa uhai ivi ivi,So Goodbye
cc: aminas,
Damushin sunbae,
Khantwe,
mjr95,
in ha,
UHURU JR,
Ommy Dimpoz,
romantic doctor,
Rahabu
LaptopKwa kutumia simu?
Niwaage nikose uhondo wa KDrama? Jeol-dae! Never.Then Kazi nzuri kama izi alizokuwa anafanya Anajititoa uhai ivi ivi,
Ngoja Inamaana Unatuaga Ama!???
Usifanye Ivyo Mkuuu!!!
Hahahaahhaaa! Mwenzio ep 1 tayari nishaimaliza! Hihihihi.. Ukisubiri ziive wenzako twakula kwa chumvi. Hahhhaaaa!!Nataka kuiangalia Hwayugi ya le swung ji Lakini mpka muda Huu aijawa Sub nalifresh muda wote lakini bado.
Ndo nini!!!! Hahahaha! Si Vizuri ivyo,ivi ushawahi Subiri Kitu kwa Hamu ndo Mimi napita kila site aijawa sub bado,We umeonaje!???Hahahaahhaaa! Mwenzio ep 1 tayari nishaimaliza! Hihihihi.. Ukisubiri ziive wenzako twakula kwa chumvi. Hahhhaaaa!!
We umeipata site Gani Nahisi Kama njaaa APA Jinsi ninavyoisubiri Mpka bando lataka isha etiiiHahahaahhaaa! Mwenzio ep 1 tayari nishaimaliza! Hihihihi.. Ukisubiri ziive wenzako twakula kwa chumvi. Hahhhaaaa!!
Kama kawaida yangu! Episode zangu ninazo-download huwa ni raw (hazina subs).Ndo nini!!!! Hahahaha! Si Vizuri ivyo,ivi ushawahi Subiri Kitu kwa Hamu ndo Mimi napita kila site aijawa sub bado,We umeonaje!???
Zilizokuwa subbed bado hazijatoka, Mkuu.We umeipata site Gani Nahisi Kama njaaa APA Jinsi ninavyoisubiri Mpka bando lataka isha etiii
Sa APA Nafanyaje Ebu nielekezeKama kawaida yangu! Episode zangu ninazo-download huwa ni raw (hazina subs).
So, hiyo episode 1 nimeidownload toka alfajiri huku nikisubiria subtitle yake itoke.
Mida kama ya saa 10 leo ndio imetoka kutoka Viki ila kuna vijipande bado hazijawa subbed yaani iko 95% subbed.
Sub yenyewe ni hiyo hapo.
Subscene - A Korean Odyssey (Hwayugi / 화유기) English subtitle
Sa Mi Iyo sub Nawekaje Kikorea chenyewe badoZilizokuwa subbed bado hazijatoka, Mkuu.
Nikupe raw episodes kisha utaweka subs mwenyewe?