Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuna hii Movie ni ya Mwaka 2016. Ni nzur aisee, ila inatisha. TRAIN TO BUSAN
6e087ddf33d41fc89f780cb970b0ba4f.jpg
Hii hatari inasisimua balaa,yule mzee na yule jamaa jinsi walivyo wabinafsi walikuwa wananifurahisha kweli.
 
2017 KBS Drama Awards Opens Voting For Netizen Popularity Awards

Netizen Award – Male

go kyung pyo (strongest deliveryman)
kwon sang woo (mystery queen)
namgoong min (chief kim)
park seo joon (fight my way)
park hyung sik (hwarang)
e.t.c
Netizen Award – Female
kim ji won (fight my way)
chae soo bin (strongest deliveryman)
lee yoo ri (father is strange)
choi kang hee (mystery queen)
e.t.c
Best Couple Award
Kwon Sang Woo and Choi Kang Hee (Mystery Queen)
Go Kyung Pyo and Chae Soo Bin (Strongest Deliveryman)
e.t.c.
NB
nimeona uvivu kuendelea kuandika kwani nafsi yangu haina furaha ila sina depression, ni aibu kwa kbs drama awards kutokuwepo kwa QUEEN FOR SEVEN DAYS kwenye kipengele chochote.
Queen-for-Seven-Days-OST-PART-3.jpg
What!??? Aigooooo Mbona Ivyo Sababu yakutoiweka!????
Ila Apo kwenye fight for my Way Na Strongest delivery Man Ao Malead Wao Mi Naweka Apo kete Zangu..

Kwenye Female lead Naona Kabisaaa Bidada wa fight for My Way Achukue Sema naweka Pia Kwenye kete kwa yule wa Strongest Delivery..

Ila Queen for seven Day kukosekana Si bure Kuna Fitina.
 
Ruler master of the mask ...nimeipenda asee. Mzee anawanywesha poppy wine
 
Jamani queen for seven dayz ni nzuri ila walikosea sana kwny upande wa character ya king maaana braza MTU nyota Yake iling'aa zaid ya mdogo MTU so as the result wengi hatukuimaliziaga
Mimi niliipenda sana wakati wakiwa watoto,kile kitoto cha kike alikuwa ananifurahisha sana ila walivyokuwa tu nikaishia hapo.
 
Episode ya 5 imenitoa chozi Japo mi mgumu
Hahahahaaaa, chezea Korea. Wale jamaa ni noma katika kazi zao yaani kuna Mahala unatizama mpaka machozi yanatoka ama kulia kabisa. Nakumbuka nilikuwa Naangalia Land of the wind kuna epsd Song il kook alipadwa na hasira. Basi akaondoka kimya kimya kwenda kulipiza kisasi baada ya kushambuliwa, wenzake wakawa wanamkataza. Ikafikia kipindi akamuwekea upanga moja kati ya watu wake basi kuna yule rafiki yake mpedwa Maro akawa anautoa ule upanga shingoni kwa upole sana. Aisee kile kipande kilinitoa machozi na kulia kabisa. Shikamoo wakorea
 
Wao ndiyo walikuwa wa mwisho kugeuka mazombi,yule dereva wa train kanisikitisha kweli alivyojitolea kumsaidia yule mzee mbinafsi kichizi.
Yule Dereva wa Train yupo kwenye BLACK aisee mle kacheza balaa. Huwa nacheka sana nikimuona.
 
Back
Top Bottom