Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekasirikaje!!Amestaili Uyu Mzee A k A Babu Hongera Zake Na Sijuh Kwa Nini Nilimsahau MBC wamenikumbusha Lol!!! Hongera yake Mingi Mingi
Lol!! Wae Wae!???Nimekasirikaje!!
Mwanzo hukumuweka kwenye list hivyo ghafla kumuona nimekuwa surprised!Lol!! Wae Wae!???
Aji 3. Hahaha!!Awards Zimeishia Apo.
Tukutane Kesho kwenye KBS & SBS Drama Awards InshaAllah
Tumuone Chae Soo Bin Akichukua Tena,
Huna Jinsi Tuuh..Aji 3. Hahaha!!
Kila nikimfikiria huyu dada najikuta natabasamu bila kupenda!
Ahsante kwako kwa updates ulizotupatia.Huna Jinsi Tuuh..
Yupo Vizuri.
Thanks 4 Campani Dear
Kama Leo TulivyoanzaAhsante kwako kwa updates ulizotupatia.
Kesho SBS saa ngapi?
MianhaeNiombe msamaha kwa ki-Korea. Hihihihi!
Hahaha! Mkuu nawe huushiwi vituko.Mianhae
Mkuu,Kama Leo Tulivyoanza
Yah ili nalo nililisikia Kuwa Tvn wamestopisha Kurusha Mpka Watakapotangaza Nikajua ni Ulongo Nikawa Nasubiria Kuona Kama KweliMkuu,
Nasikia 'Hwayugi' wiki hii haionyeshwi?
Hihihihihihi!Hahaha! Mkuu nawe huushiwi vituko.
Sasa ndio umefanya kweli. Hihihi!
Hii furaha inanikumbusha mbali sana aisee. I remember tulikuwa tunatoka Mahala tukiwa ndani ya Gari kwenye radio kulikuwa na mpira wanatangaza nakumbuka moja ya timu unayo shabikia ilikuwa inacheza. Ile timu uliyo kuwa unashabikia ikapata Gori Aisee ulilipuka kwa furaha na shangwe huku ukinipiga mabegani sijuh ulikuwa unataka na mm nishangilie [emoji23][emoji23][emoji23].Waoooooooooooo,Aigooooo Best Drama Goes To Rebel,Oyoooooooo Nahisi Kama Napanda Juu Ya Dari Safi Sana.
Woyooooooooo,Omo Omo Omo.
Nitaitafuta aisee sio kwa matuzo hayo.REBEL,Imeng'aa Usiku Huu.