Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Amestaili Uyu Mzee A k A Babu Hongera Zake Na Sijuh Kwa Nini Nilimsahau MBC wamenikumbusha Lol!!! Hongera yake Mingi Mingi
 
Awards Zimeishia Apo.
Tukutane Kesho kwenye KBS & SBS Drama Awards InshaAllah
Tumuone Chae Soo Bin Akichukua Tena,
 
Waoooooooooooo,Aigooooo Best Drama Goes To Rebel,Oyoooooooo Nahisi Kama Napanda Juu Ya Dari Safi Sana.
Woyooooooooo,Omo Omo Omo.
Hii furaha inanikumbusha mbali sana aisee. I remember tulikuwa tunatoka Mahala tukiwa ndani ya Gari kwenye radio kulikuwa na mpira wanatangaza nakumbuka moja ya timu unayo shabikia ilikuwa inacheza. Ile timu uliyo kuwa unashabikia ikapata Gori Aisee ulilipuka kwa furaha na shangwe huku ukinipiga mabegani sijuh ulikuwa unataka na mm nishangilie [emoji23][emoji23][emoji23].

Vizuri sana nae Salang furaha ni kitendo usicho weza kujizuia congratulation kwa hilo keep going [emoji123].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…