Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aigooooo! Fundi Stahiki.
noona unachochea moto ukija kuwaka mzimaji nani?
shauri yako (natania tu)
aigoooo nimekumbuka wimbo wa njoo mpenzi wangu njoo., sijui kikundi gani cha taarab asilia waliimba huu wimbo.
sijui ni culture au nadi ikhwan safaaa.
samahanini wajoseon wenzangu hii soju ya leo imepanda
 
Aigooooo!!!
Music Banah.
Kumbe Nawe Hii Huwa Wasikiliza!???
Mbona Mahara Pake Apa Ila Siku izi Nimeacha kidogo Kuisikiliza Ila Msikilizaji Mzuri MTU.
Dah Umenifanya Nismile.
 
Aigooooo!!!
Music Banah.
Kumbe Nawe Hii Huwa Wasikiliza!???
Mbona Mahara Pake Apa Ila Siku izi Nimeacha kidogo Kuisikiliza Ila Msikilizaji Mzuri MTU.
Dah Umenifanya Nismile.
daebak noona, mimi nilifikiri taarab asilia watu wa upande wa pili hamufuatilii.
ni yupi muimbaji wako bora alikuwa kwa hawa legendary.
 
Hahahhahaahhha!! Hii soju Ya Leo Kweli imepanda.
Tuliozaliwa miaka ya 2K tulikosa hivi vionjo.
 
daebak noona, mimi nilifikiri taarab asilia watu wa upande wa pili hamufuatilii.
ni yupi muimbaji wako bora alikuwa kwa hawa legendary.
Kuna Sabah,Mwanahawa Na Yule Ambaye Anaendana na Sabah Yule mama jina limenitoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…