Au Kama Utaweza Iset Mind Yako Vizuri Ni Utafanikiwa Na Kama Utapata Ulevi Mwengine.hahahahaaaaaa noona unanichukulia poa?
ili niache kuangalia korean drama pia itanibidi nisisikilize wala kufuatilia korean ost na suala hili nalo gumu sana ila ngoja nijaribu.
ila korean drama ni za kipekee.
Ndo Nia Yako Lakini Ama!?? Ndo Utani Kweli!???hahahahaaaa umebet kwenye (x)
kutafuta ulevi mwengine ndio tatizoAu Kama Utaweza Iset Mind Yako Vizuri Ni Utafanikiwa Na Kama Utapata Ulevi Mwengine.
kiukweli nimedhamiria.Ndo Nia Yako Lakini Ama!?? Ndo Utani Kweli!???
duh unataka kuziangalia zilizokupita kama hospital shipUnakumbuka kuna Muda nilijitapa Nataka Acha Izi Mambo Lol!!!
Nimeacha Sasa Ndo Kwanza Nasubiri Nimalize Kitu Flani Ivi Then Nianze Izo Mambo Zile Zilizonipita Nijitahidi Kuziwatch Tena.
Hahahaha Sina Hakika Kiukweli Lol!!
Kwaiyo Ushauri Wangu Ni Usiache Labda Upunguze Kama Utaweza!!!
Yah!!!!duh unataka kuziangalia zilizokupita kama hospital ship
Hhaahaahaa! Sunbae wewe unataka kuacha ila mwenzako ndio kwanza natafuta ulevi mkali zaidi 'sababu siku hizi kila ulevi ninao uonja haupandi kabisa kichawani.kiukweli nimedhamiria.
hahahahaaaa nasubiria comment za dongsaeng
Hah! Mwaya mbona nimekusoma vizuri tu wala hujanikwaza. Hihihiii.Mwezangu We Acha Tuuh Now Ndo Nipo Free kidogo ndo Nataka Niicheki Vizuri.
Ntakupa Leo Leo Mrejsho Mwaya.
NB. Matumizi ya neno Mwaya na Mwezangu Nimezoea Mpaka Najikuta Nayaandika APA
Sorry Kama Nitakuwa Nimekukwaza Coz Siwezi Yafuta.
Mrejesho Ntakupa.
Komawo Mwaya.Hah! Mwaya mbona nimekusoma vizuri tu wala hujanikwaza. Hihihiii.
Hahaha! Wa kisukariunajua hizi pombe mpya nazo zimechangia kunifanya niwe na mawazo ya kuacha ulevi huu pendwa wa korean drama. Zamani kabla sijawa na uwezo wa kumiliki PC nilikuwa siangalii recent drama hivyo basi nilikuwa nashindwa kufahamu drama ninayoangalia ni toleo la mwezi gani hivyo basi nilipokuwa nakwenda library nilikuwa nachagua drama yoyote tu.
lakini sahivi napata tabu sana kuangalia drama zilizopita kwa sababu naziona ni za kizamani sana na hizi recent drama nazo zinanifanya niwe mvivu kuzifatilia kila wiki utafikiri ni dozi ya mgonjwa wa kisukari.
Wewe Tuuh Na Tasteless Zako.Mbona nyingi Nzuri Tuuh.Hhaahaahaa! Sunbae wewe unataka kuacha ila mwenzako ndio kwanza natafuta ulevi mkali zaidi 'sababu siku hizi kila ulevi ninao uonja haupandi kabisa kichawani.
Hapa nilipo najihisi pweke kabisa sio kama zamani.
Hizi soju za Korea zinazoingia sasa kwangu ni very dilluted.
Sunbae,unajua hizi pombe mpya nazo zimechangia kunifanya niwe na mawazo ya kuacha ulevi huu pendwa wa korean drama. Zamani kabla sijawa na uwezo wa kumiliki PC nilikuwa siangalii recent drama hivyo basi nilikuwa nashindwa kufahamu drama ninayoangalia ni toleo la mwezi gani hivyo basi nilipokuwa nakwenda library nilikuwa nachagua drama yoyote tu.
lakini sahivi napata tabu sana kuangalia drama zilizopita kwa sababu naziona ni za kizamani sana na hizi recent drama nazo zinanifanya niwe mvivu kuzifatilia kila wiki utafikiri ni dozi ya mgonjwa wa kisukari.
Hahahahaha!Sunbae,
Unaonaje ukiwa unazidownload hizo episodes kisha unazisahau kabisa?
Kisha utaziangalia tu pindi ukiwa free na una mzuka wa kufanya hivyo?
Halafu kama ikitokea drama fulani hujaipenda basi ni kuiacha tu kwenye disk au hata kuifutilia mbali?
Chingu hapa nilipo sina hata drama moja ya kuangalia. Unaweza kunitajia ambazo unaziangalia kwa sasa?Wewe Tuuh Na Tasteless Zako.Mbona nyingi Nzuri Tuuh.
Black KnightChingu hapa nilipo sina hata drama moja ya kuangalia. Unaweza kunitajia ambazo unaziangalia kwa sasa?
Sijisifu lakini ndio ilivyo! Huwezi amini yaani kuna dramas hata dakika 10 za ep ya 1 hazijaisha basi tayari nisha-delete.Hahahahaha!
Ndo Njia yako Hii!
Unaangalia Zile Za Magharibi Ama!??Sijisifu lakini ndio ilivyo! Huwezi amini yaani kuna dramas hata dakika 10 za ep ya 1 hazijaisha basi tayari nisha-delete.
Kuna nyengine huwa naamua kuruka ruka / skip / seek forward hivyo unakuta episode yenye saa moja niangalia ndani ya dakika 10 tu.
Kati ya hizo zote basi nimeipenda 'Hwayugi' na 'Money Flower'.Black Knight
I M Not a Robot
Money Flower
Hwayugi
Nothing to lose
Huko magharibi nako ndio hivyo hivyo.Unaangalia Zile Za Magharibi Ama!??
Uangaliaji Wako Ni Wa Kiwango Cha Reli Mpya Ya Umeme.