Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu Damushin watu tuko kwenye mazoezi ya kuachana na hiv vitu alafu unatupigia msumari wa nguvu na hizo kazi 17. Mm hizo zitanisamehe kabisa ila hiyo Mr. Sunshine napenda inikute lol.
 
hahahahaahhaaaaaa ngoja nilale, umenifurahisha sana
 
Lol! Mwaya Nimejaribu Kilichonishinda Ni Kutafuta Msaniii Spaoni Pakutafutia.! Ndo Nilitaka Kukuambia.
Angalia upande wa juu-kulia (top right) kabisa, kuna ki-picha cha 'magnifying glass'.

Kibofye hicho kisha itakuja sehemu ya ku-search.
Nasubiria mrejesho (kama kawaida yangu). Hihihihii!
 
Mmmhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…