Emma Mnyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 201
- 183
GIANT ni motoooooMm pia...naskia ni nzur lakin muda naipata IRIS...ilikua ishaangaliwa na wengi...so nikaachana nayo...Huntsman em tafuta GIANT....alaf utakuja kuniambia mwenyewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GIANT ni motoooooMm pia...naskia ni nzur lakin muda naipata IRIS...ilikua ishaangaliwa na wengi...so nikaachana nayo...Huntsman em tafuta GIANT....alaf utakuja kuniambia mwenyewe...
Ni sheeeedahGiant kiboko aiseee jo pilyeon mzee katili kulko lol
http://kissasian.ch/Drama/A-Korean-Odysseyseries gani hiyo mkuu nii watch now
halafu hii drama ya hwayugi park bo gum ndiye alikuwa wa kwanza kupewa offer ya uigizaji mkuu lakini alikataa.Seung GI Hana Adamu.
Hahahaha Mzee Kama uyo awe kaka yake kweli
R.I.P PD Jeon Ki Sang! Sikuwa nakujua lakini kazi ulizozisimamia zinatosha kuujua umuhimu wako katika tasnia ya KDrama.Producing director (PD) Jeon Ki Sang amefariki dunia akiwa na miaka 59 baada ya kugongwa na gari.
miongoni mwa kazi alizozisimamia ni pamoja na boys over flower, to the beautiful na my girl.
![]()
Ukiimaliza angalia +kama hujaiangalia) AGE OF WARRIORS. Yaani ni drama mzuri sana na mtunzi ni yuleyule wa EMPEROR WANG GUHN.![]()
takribani wiki nzima iliopita nilikuwa naangalia drama ya emperor wang guhn (taejo wang guhn) ya mwaka 2000 yenye episode 200 ambayo ni kiporo changu cha muda mrefu sana,kihistoria wang guhn ndiye mfalme wa kwanza wa taifa la goryeo (koryeo) na aliingia madarakani baada ya kumpindua mfalme gongyae ambaye alikuwa ana tabia za kidikteta.
ndani ya wiki moja nilibahatika kuangalia kuanzia episode 90 hadi episode ya 122, kwa sasa nimeamua kuiweka tena kiporo kwa sababu upande wa kwanza wa maisha ya wang guhn nimesha ufahamu kwa sababu hadi episode ya 121 ndio anabeba madaraka. licha ya kuwa ni drama ya zamani lakini haikunichosha kuitazama kwa sababu hadithi yake ni ya kusisimua na cha kufurahisha zaidi nusu na robo ya stori yake ni ukweli mtupu yaani namaanisha matukio mengi yamerikodiwa kwenye vitabu vya kihistoria.
kuhusu kizidownload episode na kuziangalia baadae ilo suala nalifanya ila tatizo linakuja kwenye kuziangalia, kiukweli mzuka wa kuangalia ndio umepungua, napata tabu sana siku hizi.
- money flower ndio drama pekee ambayo episode zake nikizodownload naziangalia muda huo huo,nakumbuka mwezi uliopita niliwahi kuandika natamani siku za wiki zipungue ili jumamosi ifike haraka nipate kuiangalia money flower.
- hwayugi episode ya 3, 4 tayari nimezidownload tokea jumatatu lakini hakuna hata moja niliyoiangalia.
- father is strange drama episode 4 za mwanzo tayari nimezidownload tokea siku ya jumatatu ya mwaka mpya lakini hadi leo sijaiangalia hata moja.
- 2 cops drama hii imechangia kuwa mvivu wa kuangalia drama, baada ya kujilazimisha jana ndio nimefanikiwa kuendelea kuangalia episode ya 11,12,13,14. sitaiangalia tena.
- the producer drama, ni drama ya 2015 ambayo ameigiza kim soo hyun kidogo hii ndio naweza kuiangalia japo kwa nusu saa, nimeishia episode ya 8.
- defendant drama nimeidownload siku aliyotangazwa ji sung kuwa ni mshindi wa grand prize kupitia sbs drama awards, nakumbuka ilikuwa ni mwaka mpya lakini hadi leo sijaiangalia hata nusu episode.
- kill me heal me nayo hivyo hivyo nimeidownload lakini mzuka wa kuiangalia sina
- hadi leo goblin nimeishia episode ya 4 na kwenye pc ninayo mpaka mwisho.
- black knight episode ya 9,10 kwenye pc ninazo lakini sijaziangalia.
- temperature of love nilikuwa naipenda sana hii drama lakini nimeishia episode ya 16 na nahisi tabu kuiendeleza.
- nadhani ni muda muafaka wa kuipumzisha akili labda mzuka unaweza kunirudia tena.
Mbina link inagoma kuingia?
ChinafHabarini wadau!
Eti wadau hivi season ya Destined to love ni ya kikorea au kichina?