Ndio mrejesho wenyewe huo? We Kiboko.Mmmhh!
Hahahahahah! Ottoke!Ndio mrejesho wenyewe huo? We Kiboko.
Hihihiihi! Itanibidi nisamehe tu hakuna namna.Hahahahahah! Ottoke!
hahahahhahhaaaaaaaa aanze kujiandaa kisaikolojia na mapemaaaa huenda vacation yangu ikawa ni ya miezi 6, na kitufe chenye kuonyesha alerts zangu nitakizima.Hiyo Puleeez utaitaja hadi kwa Hangul lakini sunbae ndio hivyo. Yupo vacation katika kisiwa cha Jeju.
Hahahahahhahaah!! Ushindwe Tena Na Tena.Hiyo Puleeez utaitaja hadi kwa Hangul lakini sunbae ndio hivyo. Yupo vacation katika kisiwa cha Jeju.
Nilitaka Ueke Apa ili EMPTY Auone.
lee hi kilio chako hata mimi niliye dunia ya mwisho kimenihusu
R.I.P jong hyun
Mmmmhhhh!!!!!hahahahhahhaaaaaaaa aanze kujiandaa kisaikolojia na mapemaaaa huenda vacation yangu ikawa ni ya miezi 6, na kitufe chenye kuonyesha alerts zangu nitakizima.
Kumbe ni Mwanaume Wa Maana Ivi Mule ndani Sijuhi Kachezaje Na Boss Wake Chizi Yule.aminas nataka unipe update kuhusiana na episode ya jana kupitia drama ya black knight, je kim rae won ananasa kwenye mtego wa sharon baada ya sharon kumpelekea zawadi ya shati ambayo alikwisha ivaa?
halafu huyu ahjussi huu uhusika wake ananiweka roho juu, hahahahaaaaaa ila nimezipenda suti zake anazovaa.
na kwenye drama ya hwayugi yumo mvulana mmoja uhusika wake umenifanya niwe frustrated kama mzee wa chato, ni mhudumu wa bar sauti yake na vitendo vyake ni mchanganyiko wa jinsia mbili.Kumbe ni Mwanaume Wa Maana Ivi Mule ndani Sijuhi Kachezaje Na Boss Wake Chizi Yule.
Alishindwa Naona Nguvu Zake Zinashindwa Kaamua Kumdaka Kwenye Kumuuzia Land Tena Baada ya Hae Ra Kumlazimisha Rae Won Afate Kama Uyu 200 Atakavyo. Ndo Kaamua kumkaribisha Nyumbani kwake Ila Rae Anajitahidi Sana Kumkwepa Ila Wapi Bibi Ki'nga'nganizi Uyu Lol!!!
Yah Nakumbuka Na Alisema Kuwa Akilivaa Ataact Vile Sharon Anataka Lakini Mambo Yameenda tofauti Na Alivyo Panga Sijuh Dawa Aikuingia.na kwenye drama ya hwayugi yumo mvulana mmoja uhusika wake umenifanya niwe frustrated kama mzee wa chato, ni mhudumu wa bar sauti yake na vitendo vyake ni mchanganyiko wa jinsia mbili.
sharon si alimpelekea zawadi ya shati jeupe na baada ya shati lake kumwagiwa kahawa na mfanya kazi wake kwenye episode ya 10 akavaa shati jeupe, na sharon lile shati alishawahi kulivaa inamaana tayari lina joto lake.
Seung GI Hana Adamu.aminas noona leo nilipokuwa naangalia episode ya 4 ya drama ya hwayugi nimejifunza ya kwamba general dong na ha su nyeo ni mtu mmoja aliyeigiza nafasi mbili, uhusika wa kiume na uhusika wa kike.
mwili mmoja ila nafsi mbili.
aigooooo wakorea wanapenda ujanja ujanja.
huwa nacheka sana huyu mzee anapomwita lee seung gi hyungnim
series gani hiyo mkuu nii watch nowaminas noona leo nilipokuwa naangalia episode ya 4 ya drama ya hwayugi nimejifunza ya kwamba general dong na ha su nyeo ni mtu mmoja aliyeigiza nafasi mbili, uhusika wa kiume na uhusika wa kike.
mwili mmoja ila nafsi mbili.
aigooooo wakorea wanapenda ujanja ujanja.
huwa nacheka sana huyu mzee anapomwita lee seung gi hyungnim