Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


Happy Birthday Boo Ake...
Long live Kipenzi cha wengi.
Love at first Sight.

Anaianza 30th Yake
 
Producing director (PD) Jeon Ki Sang amefariki dunia akiwa na miaka 59 baada ya kugongwa na gari.
miongoni mwa kazi alizozisimamia ni pamoja na boys over flower, to the beautiful na my girl.
 
Producing director (PD) Jeon Ki Sang amefariki dunia akiwa na miaka 59 baada ya kugongwa na gari.
miongoni mwa kazi alizozisimamia ni pamoja na boys over flower, to the beautiful na my girl.
R.I.P PD Jeon Ki Sang! Sikuwa nakujua lakini kazi ulizozisimamia zinatosha kuujua umuhimu wako katika tasnia ya KDrama.

Kati ya KDramas za mwanzo kuziona basi BodyGuard kamwe siwezi kuisahau ambayo wewe ndie uliyeifanikisha pamoja na mkali 'Ma Wang' wa kwenye Hwayugi.

Pumzika kwa amani PD.
 
Ukiimaliza angalia +kama hujaiangalia) AGE OF WARRIORS. Yaani ni drama mzuri sana na mtunzi ni yuleyule wa EMPEROR WANG GUHN.
Age of warriors ni drama yenye mfululizo wa matukio, yaani inaanza na mtu fulani kipindi chake kinaisha kinakuja cha mwengine na mwengine.
Age of warriors ni drama inayoelezea uongozi wa kijeshi (militaey rule) iliyotekea kipindihicho cha himaya ya goeyeo (goryeo empire) ambapo kilianza baada ya general lee ui bang na general Jung Joong Bu kumpindua mfalme na kumuweka mfalme kibaraka wao na wakatawala wao (de facto).
 
Naomba mnisaidie link yakudownload koren drama kwani dramafire nliyokua naitimia siioni tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…