Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

OCN Romance wamekuja na hii Drama inaitwa LONGING HEART. Aya kama hujaicheki fanya haraka ukaipakue binafsi iko poa sijui kwako itakuwa vp.
95c907aef3a2079e3afc7c5c123d5916.jpg
Lee Jung Shin na Lee Yul Eum wamehusika humo ndani kunogesha hiyo Drama.
b651a149cae5c5e4526079d69c68c3bc.jpg
0a53933c35f29dc475a1dac6c8e856e3.jpg
 
kiukweli hizi recent drama zimeshaniachia athari kubwa sana na inafika wakati nashindwa kuwa na hamu kabisa ya kuangalia drama ambazo zimepita muda wake.
  • mwezi uliopita nilianza kuangalia playfull kiss drama ila nimeishia episode ya 3,nikimuangalia jung so min wa play full kiss drama na wa kwenye because this is my first life drama ni mwili mmoja ila nafsi tofauti kabisa.
    a7c8ee337e21e0eb0521268e5f293fc3--a-kiss-playful-kiss.jpg
  • the producer drama nayo pia nimeganda episode ya 8,kiukweli sijui najionaje ninapoiangalia huwa nahisi kama naangalia bongo movies
    o2gukxt4xR51ED8KbX2-o.jpg
  • nahisi njia pekee ya kuweza kuangalia drama za zamani ni kuacha kuangalia drama zinazoendelea.Hivi kuna mwengine anayesumbuliwa na ugonjwa kama wa kwangu mimi?
 
Hahahhhhahhaa!! Hata mimi nilijaribu kuangalia drama ya 'Secret Garden' (uliisifia sana) lakini nikaishia ep ya 3 na sina plan za kuiendeleza.
 
Back
Top Bottom