Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Drama Zipo Nyingi Ila kwa Nilizoangalia Mimi Ni Izi Kwa Kuanzia Nitaendelea Kukupa Kadri Ya Uwezo
Black
Criminal Minds
Defendant
Hwarang
Kwa Kuanzia..
Japo Iyo Hwarang Ya FEB
Black [emoji776]
criminal minds [emoji736]
Defendant [emoji736]
Hwarang [emoji736]
 
Whisper [emoji736]
hospital ship [emoji736]
bad thief good thief [emoji736]
tunnel [emoji736]
daaaaahhh nishacheki nyingi kadhaa ila sidhani kama nimeshacheki series zote za kikorea za mwaka jana
 
d49173a9-83eb-4839-8e1f-232fb03c891e.jpg

Ni Medical Drama Lakini Naweza Sema Ni Drama Bora Kati Ya Hizi Zilizoanza Wiki Hii...
Iko Na Stori Tamu Sana Kama Ni Mtu Unayependa Medical Ishu..

Nimempenda Bure Uyu Kijana Kwenye Strongest Alinivuta ila Now Kanikamata..

Kuna ichi kitu Ninakiona Kwenye Korean Drama Kuna Utofauti Mkubwa Sana Kati ya Celeb Na Actor au Actress
Uyu Kijana Na Soo Bin Ni Waigizaji Wazuri Sana Japo Izi Drama Walizocheza Tofauti Ni Zimekuwa Na Mapokeo Madogo Kwa Maana Ya Rating Zake Ni Ndogo Sana Ukilinganisha Na Izi Drama Za Maceleb Ambazo Zinalushwa Muda Mmmoja Kwa Station Tofauti..

Kuna Tofauti Kubwa Sana Kati Ya Soo Bin Na So hyun...
So Hyun Sijawahi Muelewaga Sijuhi Kwa Nini Uigizaji Wake Aujawahi Niivuta Kivilee Naangalia RADIO ROMANCE Coz Ya Male Lead Kuna Kitu Nimekiona Kwake Natamani Nikione Tena Na Tena..

Ila CROSS Itafuteni Ila Mwenye Kupenda MEDICAL Ishu.
Hii ilikuwa kwenye list yangu ya upcoming drama,ndiyo nilikuwa nataka nianze kuichek.
 
Omo Omo...Miaka 7 Mbele Duuuuhh..
Na Apo Baada ya Kupata Familia Waweza Acha Izi Mambo
kuacha si rahisi labda nipoteze mvuto wa kuziangalia na hawa new actors and actress ndio itakuwa huenda ni chanzo cha kutokuzifuatilia drama, na atakayekuja kuolewa na mimi asije kujaribu kunizuia kuangalia korean drama, nadhani ndio siku nitakayompa likizo ya miezi 8 bila ya malipo.
  • atakula chakula peke yake
  • atalala chumba peke yake
  • atatafuta tv yake ya kuangalia
aigooooo nitakuwa kama mfalme daemusin muhyol wa goguryeo, yaani kwa kuwa yeye hapendi drama ndio namimi aje anizuie nisiangalie drama,hahahahaaa noona itakuwa ni udikteta wa kike.
 
Drama Zipo Nyingi Ila kwa Nilizoangalia Mimi Ni Izi Kwa Kuanzia Nitaendelea Kukupa Kadri Ya Uwezo
Black
Criminal Minds
Defendant
Hwarang
Kwa Kuanzia..
Japo Iyo Hwarang Ya FEB
nilijiwekea wiki hii nisiandike chochote kwenye thread hii lakini noona comment yako imenivunja moyo na kunikera sana, kwenye list yako umeitaja hwarang, criminal minds, black drama lakini cha ajabu umeshindwa kuitaja drama ya because this is my first life.
ili hasira zangu ziishe tafadhali niandalie tambi,chupa moja ya soju na pia usisahau kunichomea samaki aina ya mkunga au kwa kiingilishi anaitwa eel (sijui huko kwenu munamwitaje)
f861e65308213a9bc5c4f6c19bc1edc78491d6f8_hq.jpg

tafadhali usichelewe kuniandalia msosi wangu nipo njiani nakuja nyumbani kwenu si unajua wewe ni my chingu mpendwa.
 
sheria ni msumeno, haijalishi ni celebrity maarufu duniani, haijalishi unatokea familia ya kifalme na yenye heshima zaidi ya familia ya kifalme ya uingereza.
Kim Soo Hyun
Military Training Photos

Kim-Soo-Hyun.jpg

Kim-Soo-Hyun-3.jpg
Kim-Soo-Hyun-1.jpg
 
kuacha si rahisi labda nipoteze mvuto wa kuziangalia na hawa new actors and actress ndio itakuwa huenda ni chanzo cha kutokuzifuatilia drama, na atakayekuja kuolewa na mimi asije kujaribu kunizuia kuangalia korean drama, nadhani ndio siku nitakayompa likizo ya miezi 8 bila ya malipo.
  • atakula chakula peke yake
  • atalala chumba peke yake
  • atatafuta tv yake ya kuangalia
aigooooo nitakuwa kama mfalme daemusin muhyol wa goguryeo, yaani kwa kuwa yeye hapendi drama ndio namimi aje anizuie nisiangalie drama,hahahahaaa noona itakuwa ni udikteta wa kike.
hapa nilipo sina mbavu kwa kicheko
 
nilijiwekea wiki hii nisiandike chochote kwenye thread hii lakini noona comment yako imenivunja moyo na kunikera sana, kwenye list yako umeitaja hwarang, criminal minds, black drama lakini cha ajabu umeshindwa kuitaja drama ya because this is my first life.
ili hasira zangu ziishe tafadhali niandalie tambi,chupa moja ya soju na pia usisahau kunichomea samaki aina ya mkunga au kwa kiingilishi anaitwa eel (sijui huko kwenu munamwitaje)
f861e65308213a9bc5c4f6c19bc1edc78491d6f8_hq.jpg

tafadhali usichelewe kuniandalia msosi wangu nipo njiani nakuja nyumbani kwenu si unajua wewe ni my chingu mpendwa.

park hyo shin - im your friend

Waoow Komawo Chingu.
You Will Always Be Ma Chingu Japo Atujuani Kwa Face.

Huwezi Amini Damushin Nilijikuta Drama Zote Zinatoka Kichwani Ikabidi Niziandike Zile Zinazokuja kwa Ubongo Tuuh.
Ila Kiukweli Nimefanya Kosa Kubwa..

Mianhee Chingu (Aji3 Voice)
 
nilijiwekea wiki hii nisiandike chochote kwenye thread hii lakini noona comment yako imenivunja moyo na kunikera sana, kwenye list yako umeitaja hwarang, criminal minds, black drama lakini cha ajabu umeshindwa kuitaja drama ya because this is my first life.
ili hasira zangu ziishe tafadhali niandalie tambi,chupa moja ya soju na pia usisahau kunichomea samaki aina ya mkunga au kwa kiingilishi anaitwa eel (sijui huko kwenu munamwitaje)
f861e65308213a9bc5c4f6c19bc1edc78491d6f8_hq.jpg

tafadhali usichelewe kuniandalia msosi wangu nipo njiani nakuja nyumbani kwenu si unajua wewe ni my chingu mpendwa.

park hyo shin - im your friend

Karibu Tena Na Tena Ila Uyo Samaki Umtakaye Sidhani, Si Uku Utamkuta Changu Mwenye Jina Kubwa Au Tasi Aso Na Nyama.
 
kuacha si rahisi labda nipoteze mvuto wa kuziangalia na hawa new actors and actress ndio itakuwa huenda ni chanzo cha kutokuzifuatilia drama, na atakayekuja kuolewa na mimi asije kujaribu kunizuia kuangalia korean drama, nadhani ndio siku nitakayompa likizo ya miezi 8 bila ya malipo.
  • atakula chakula peke yake
  • atalala chumba peke yake
  • atatafuta tv yake ya kuangalia
aigooooo nitakuwa kama mfalme daemusin muhyol wa goguryeo, yaani kwa kuwa yeye hapendi drama ndio namimi aje anizuie nisiangalie drama,hahahahaaa noona itakuwa ni udikteta wa kike.
Duuh! Iyo Likizo Mpaka Chumba Tofauti Hmmmm!!!! Pole yake Mtarajiwa Hana Jinsi Inambidi Aipende Tuuh Joseon.

Mnawapiga Vita Awa New..
 
baada ya han hye jin (soseono) kuchaguliwa kama muigizaji mkuu wa drama ya Let’s Look at the Sunset Holding Hands leo hii waigizaji wengine wametangazwa kushiriki kwenye drama hiyo itakayoanza kuonyeshwa mwezi machi ambao ni Yoo In Young na Kim Tae Hoon.
Yoo In Young ataigiza uhusika wa shin da hye, mwanamke mwenye kipato kikubwa na mrembo ambaye mwanzo anakuwa ndiye mpenzi wa kim do young (Yoon Sang Hyun), baada ya miaka takribani 10 anaamua kurudi korea na kuamua kutumia nguvu yake ya kifedha kumuendesha kim do young jambo linalopelekea kuvurugika kwa mahusiano kati yake na Nam Hyun Joo (han hye jin)
Kim Tae Hoon ataigiza uhusika wa daktari ambaye ni mtaalamu wa ugonjwa unaosababishwa na uvimbe wa ubongo(brain tumors) ambaye ameamua kuwa daktari baada ya mke wake kufa kwa ugonjwa huo.

je wajua:
kim tae hoon na kim tae woo ni ndugu na wote ni waigizaji.
387514821be10a29f2319a88b1b1d59d.jpg

kimtaewoo_30.jpg
 
NB:
usije ukachanganya sumu ya panya na kikombe kimoja cha maziwa kwa wakati mmoja eti ukitegemea utapona.
kuna kim tae woo wawili ambapo mwengine ni muimbaji ninayempenda sana nchini korea, mwili wake na sauti haviendani.
shikamoo waimbaji wa korea kila mmoja anamshinda mwenzake.
kim-tae-woo-g-o-d-01.jpg
 
kuacha si rahisi labda nipoteze mvuto wa kuziangalia na hawa new actors and actress ndio itakuwa huenda ni chanzo cha kutokuzifuatilia drama, na atakayekuja kuolewa na mimi asije kujaribu kunizuia kuangalia korean drama, nadhani ndio siku nitakayompa likizo ya miezi 8 bila ya malipo.
  • atakula chakula peke yake
  • atalala chumba peke yake
  • atatafuta tv yake ya kuangalia
aigooooo nitakuwa kama mfalme daemusin muhyol wa goguryeo, yaani kwa kuwa yeye hapendi drama ndio namimi aje anizuie nisiangalie drama,hahahahaaa noona itakuwa ni udikteta wa kike.
Ukipenda wewe utakubali ukiambiwa hakuna kuangalia Kdrama na unakubali.
 
Back
Top Bottom